Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

Wewe una tatizo kubwa la msingi,likitibiwa vyema nguvu za kiume zitarudi automatically.Eleza vyema tuone namna ya kukusaidia.
 
Duh,watu mna dawa,ulishawahi kuwa saidia kazi kwa mganga nini bloangu?
 

nyege nazo zimeisha? maana unaweza sema n nguvu za kiume kumbe nyege huna pia
 
Hizi ndio nguvu za kiume....


well, ma dollar ni nguvu za kiume, ndio, lakini ni za kung'oa wanawake, sio kununua love and loyalty.

ndo maana mke wa bosi analiwa na mwamba mwenye pikipiki ya hesabu na maisha ya tabu.

kama hujayaona wala kuyasikia basi hujaishi muda mrefu, u bado kijana, ujana maji ya moto
 
Aione dronedrake kwenye faili. Na wengine wenye matatizo yanayosababishwa na CHAPUTA hii ndo comment yenu ya kuwasaidia.
 
Toa maelezo yaliyo nyooka tupate kukusaidia
1. umrí wako.???
2. Maradhi yako??
3. Tatizo lipoje????
4. Tatizo lilianzaje???
5. Umetumia Dawa gani nk.
 
Samahani sana ndugu ila hayo yaweza kuwa matokeo ya matumizi mabaya ya ujana yani punyeto nyingi, midawa ya kupaka au kumeza wakati wa sex.
Au umechepuka na mke wa mtu au mwanamke ambae alikuelewa kisha ukamuacha vibaya.
Kuna vyakula unatakiwa kutafuna kila siku bila kuchoka mfano karanga, tende, korosho, karoti, vitunguu swaumu, spinachi nk. Usisahau mazoezi
 
kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…