Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.

Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
Wewe una tatizo kubwa la msingi,likitibiwa vyema nguvu za kiume zitarudi automatically.Eleza vyema tuone namna ya kukusaidia.
 
Dawa ya mitishamba, ebu chukua ndevu za kwenye mahindi ziko pembeni mwa mhindi halafu nenda kwenye midizi kuchukua ndevu utaziona pembeni wa mkonga wa ndizi weka kwenye sufuria weka maji chemsha kunywa hayo maji asubuhi pumzika na jioni kunywa halafu cheki mazingira kama mnara unasoma hii ina nguvu sana
Duh,watu mna dawa,ulishawahi kuwa saidia kazi kwa mganga nini bloangu?
 
Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.

Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.

nyege nazo zimeisha? maana unaweza sema n nguvu za kiume kumbe nyege huna pia
 
Hizi ndio nguvu za kiume....
1692893932084-png.2727521

well, ma dollar ni nguvu za kiume, ndio, lakini ni za kung'oa wanawake, sio kununua love and loyalty.

ndo maana mke wa bosi analiwa na mwamba mwenye pikipiki ya hesabu na maisha ya tabu.

kama hujayaona wala kuyasikia basi hujaishi muda mrefu, u bado kijana, ujana maji ya moto
 
Pole ndugu.
Fanya hivi, chukua likizo ya 30 days bila kusex wala kuchungulia video za ngono. Ikiwa utafanya ivo for 90 days utapona kabisa.
Muhimu zingatia lishe bora, matunda, Maziwa na kupata muda wa kutosha kupumzika. Punguza mawazo nakujishtukia kuwa huna nguvu, relax bana.
Aione dronedrake kwenye faili. Na wengine wenye matatizo yanayosababishwa na CHAPUTA hii ndo comment yenu ya kuwasaidia.
 
Samahani sana ndugu ila hayo yaweza kuwa matokeo ya matumizi mabaya ya ujana yani punyeto nyingi, midawa ya kupaka au kumeza wakati wa sex.
Au umechepuka na mke wa mtu au mwanamke ambae alikuelewa kisha ukamuacha vibaya.
Kuna vyakula unatakiwa kutafuna kila siku bila kuchoka mfano karanga, tende, korosho, karoti, vitunguu swaumu, spinachi nk. Usisahau mazoezi
 
kweli
 
Back
Top Bottom