Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

Una miaka 49 ebu fanya hivi vipimo 1-sukari
2-kiwango cha testosterone,3-Shinikizo la damu,4-x Ray katika kiuno,tezi dume.
Majibu mpatie huyo huyo daktari wako atajua namna ya kufanya.
 
Kunywa chai ya Tangawizi na juice zenye Tangawizi kwa wingi tatizo litaisha kabisa..
Ngoja nikupe juice tatu.
1.Nakupa hii chukua mbegu za komamanga na Tangawizi saga juice hiyo unywe after week njoo hapa uniquote...
2.chukua kitunguu maji cha kawaida saga na Tangawizi then ukichuja Korogea asali kunywa
3.Tikiti maji +Tangawizi+kitunguu swaumu na limao.
Hizo juice Tatu it's best...mashine isipokuwa ngumu kama jiwe njoo hapa utoe ushuhuda..

Ukiongezea na mazoezi ya viungo ndio umemaliza kabisa tatizo..

Check pia kiwango chako cha sukari na pressure...kabla ya kulala tafuna vitunguu swaumu na karafuu pamoja shushia na maji
Asante sana
 
Una miaka 49 ebu fanya hivi vipimo 1-sukari
2-kiwango cha testosterone,3-Shinikizo la damu,4-x Ray katika kiuno,tezi dume.
Majibu mpatie huyo huyo daktari wako atajua namna ya kufanya.
Asante nimekuelewa
 
unapiga nyeto? mke wako ana umri gani? una uzito kulingana na wew? una stress? kiuno kinauma kwa sbb gan? Umeenda hospital? Baada ya hayo njoo vitu vingine ni confidential.
 
Pole ndugu.
Fanya hivi, chukua likizo ya 30 days bila kusex wala kuchungulia video za ngono. Ikiwa utafanya ivo for 90 days utapona kabisa.
Muhimu zingatia lishe bora, matunda, Maziwa na kupata muda wa kutosha kupumzika. Punguza mawazo nakujishtukia kuwa huna nguvu, relax bana.
Video za ngono zinaathiri vp man power? Mkuu
 
ni saikoloji addiction mbaya sana inafanya uone mbususu halisi ya mwanamke ni ya kawaida sana ni kama haivutii vile na ile ya kwenye video ndio nzuri, matokeo yake unashindwa kuperform hadi kwanza ukachungulie video. Usipoona video shaft haisimami.
Na ukiendeleza hako kamchezo baada ya muda hutaona ladha kabisa ya tendo la ndoa halisi, utaishia masturbation na matokeo yake vijana wengi hivi sasa hawaskii tena ladha ya mbele na hawawezi tena kuperform wanaanza kutafuta ladha ya nyuma na sasa ivi hadi kumetengenezewa vyoo vya kutawazwa nyuma, yote haya ni mafanikio ya watengeneza video za porno kuwa weaken kabisa vijana saikolojikali ili iwe rahisi kuwarecruit kwenye USHOGA jamii inayokuua kwa kasi zaidi nchini na Duniani.

Kumbuka anaetengeneza video za ngono ndio huyo anaekupokea kwenye jamii ya USHOGA na anarahisisha kuwakaribisha wengi zaidi kwa choo cha kumpapasa huko nyuma kwasabb mbele ni legevu.
Na actually hii inatesa sana vijana wa miaka 35 kushuka chini.
Tiba Kamili ni kama nilivyoshauri hapo juu.

90 days without watching porno video and free from masturbating
Kula vizur lala vizuri, pumzika vizuri, ondoa Mawazo hasi utakua Mwanaume Kamili kitandani.

Not necessary to agree..... but man power imeathiriwa mno na video za ngono
 
Back
Top Bottom