Msaada: Nimekuta kibubu kina 30,000/- tu baada ya kuweka pesa karibu miezi 5, nifanyeje?

😂😂😂😂Kha
Ndio hivyo wanawake nyie mna mbinu nyingi.

Katika kusachi Kuna mwamba akakutwa na visu kwenye begi afande anamuuliza ;wewe mbona una visu kwenye begi? Jamaa linajibu; hivyo vya kazini, afande anamuuliza tena unafanya kazi Gani ? Jamaa: Nachinja ngombe

Kuna mmoja akakutwa na misokoto ya bangi kwenye begi akahifadhiwa kituoni ( nahisi kimoyo kamtukana matusi ya nguoni konda, dereva na mwizi wa simu kwa kusababisha gari kupelekwa kituoni)
 
😀 😀 😀 😀daah jambazi hiloo
 
Hakuna cha chuma ulete au chuma upeleke.Ukijibu maswali yangu nitakuambia ni nini kimetokea.
1.Unaishi mwenyewe ghetto?
2.Kuna ndugu,rafiki ama jirani amezoea ghetto lako.
3.Je ni mtu ya michepuko a.k.a mpango wa kando au ni hit &run member na je ni mazingira ya ghetto,?
 
Dah aliuza ramani za watu Kwa tamaa zake
 
1. Naishi mwenyewe
2. Hakuna yeyote ambaye anazingia ndani kwangu ni mimi na vitu vyangu.
3. Sina hiyo kawaida ya kuingiza mtu ndani kwangu, mazingira ya kawaida yan kitanda na vitu vingine vya ndani na Sina makoro Koro ni chumba cheupe sana coz ndo kwanza naanza maisha.
 
Nyumba ina ceiling au juu iko wazi,je hakuna mtu aliyechangia ufunguo wako?
 
Mnao weka pesa kwenye vibubu nyie ni moja ya watu mnaoyumbisha uchumi, haiwezekani mzunguko wa pesa upotee napesa umeichimbia ndani...
 
Sio
Kulikuwa na ulazima gani wa kusema "mimi ni dada"???
Kujitambulisha kama ni WA kike Kwan nimekosea kusema hivyio.?
 

Wewe ulikuwa ukiweka mia mbili mbili bhana!
Hakuna cha chuma ulete hapo!
 
Mnao weka pesa kwenye vibubu nyie ni moja ya watu mnaoyumbisha uchumi, haiwezekani mzunguko wa pesa upotee napesa umeichimbia ndani...
Hilo ni jambo la elimu ya uwekezaji,hata mtoto anaanza kufundishwa kunyonya
 
Bank na simu unaprintiwa cash statement yako unaona pesa yako ilivyoingia na kutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…