bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Si lazima uende bank unaweka kwa wakala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza kiwango cha saving.....hakuna miracle hapooo...jibane zaidiiiHabari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada;
Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani hizi ambazo naweka kwenye kibubu ni kwa ajili ya kulipa Kodi, kwahiyo ndio maana nahifadhi ndani.
Nimeanza kuweka pesa toka mwezi wa 5 mwaka huu, nahifadhi kwa ajili ya kulipa Kodi kwa ajili ya muhula unaofata, Kodi yangu yaisha mwezi wa 10.
Jana wakati nimepumzika nikajikuta natamani kujua hadi sasa nimefikisha sh. ngap ili nione kama naweza kulipa kabisa au niongeze ili itimie nilipe Kodi yangu ya mwezi unaofata, chumba nalipa elf 50 ambayo huwa nalipa kwa miezi 6 ili niwe huru kufanya mambo mengine.
Cha ajabu nilichokuta sijui hata niseme nini, yaani niliishia kulia na kucheka kwa pamoja! Nimekuta elf 30 tu wakati nilikuwa lazima ingekuwa hata laki 2 au zaidi.
Jamani jamni hali ilivyo ngumu halafu unapata janga kama hili kiukweli niliishiwa nguvu, tangu jana hadi leo sijatoka kwenda kokote, nahisi kama naumwa.
Jamani kwa anayefahamu haya mambo ya Chuma Ulete naweza rudisha pesa yangu na kama inawezakana je nifanyeje au ndio nishikuru tuu niongee na mwenye nyumba mapema anipe muda wa kujitafuta?
Yaani sijui hata la kufanya, please please naomba mnisaidie cha kufanya sielewi nifanye nini!
Bila roho ngumu hutoboi. Pesa haihitaji mtu lainiIpo lakini Inahitaji uikatili roho kisawasawa unapokuwa na tatizo
Mie Huwa nanjia zangu zingine na alhamdulillah zinanisaidia Kwa umri wangu siko vibaya sanaBila roho ngumu hutoboi. Pesa haihitaji mtu laini
Yaani unahifadhi pesa nyumbani wakati benki zipo, na hujui zipo kiasi gani! Acheni ujinga mnaishi karne ya 18 huko nyie?Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada;
Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani hizi ambazo naweka kwenye kibubu ni kwa ajili ya kulipa Kodi, kwahiyo ndio maana nahifadhi ndani.
Nimeanza kuweka pesa toka mwezi wa 5 mwaka huu, nahifadhi kwa ajili ya kulipa Kodi kwa ajili ya muhula unaofata, Kodi yangu yaisha mwezi wa 10.
Jana wakati nimepumzika nikajikuta natamani kujua hadi sasa nimefikisha sh. ngap ili nione kama naweza kulipa kabisa au niongeze ili itimie nilipe Kodi yangu ya mwezi unaofata, chumba nalipa elf 50 ambayo huwa nalipa kwa miezi 6 ili niwe huru kufanya mambo mengine.
Cha ajabu nilichokuta sijui hata niseme nini, yaani niliishia kulia na kucheka kwa pamoja! Nimekuta elf 30 tu wakati nilikuwa lazima ingekuwa hata laki 2 au zaidi.
Jamani jamni hali ilivyo ngumu halafu unapata janga kama hili kiukweli niliishiwa nguvu, tangu jana hadi leo sijatoka kwenda kokote, nahisi kama naumwa.
Jamani kwa anayefahamu haya mambo ya Chuma Ulete naweza rudisha pesa yangu na kama inawezakana je nifanyeje au ndio nishikuru tuu niongee na mwenye nyumba mapema anipe muda wa kujitafuta?
Yaani sijui hata la kufanya, please please naomba mnisaidie cha kufanya sielewi nifanye nini!
Anaweza asikuelewe, akadhani unazungumzia weupe wa rangi ya ngozi😊Mimi ni mdau wa vibubu.
Mara Moja tu niliona negative ya sh. 50k ila nahisi ni issue ya kihesabu tu
Mara nyingi nakuta pesa yangu taslimu maana nahesabu Kila nikiweka, muda mwingine nakuta kaongezeko kidogo.
Wewe ni mweupe ndio maana unachezewa
Wenzako wanaweka kwenye kibubu cha tigopesa, hapo kuna panya anazila.Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada;
Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani hizi ambazo naweka kwenye kibubu ni kwa ajili ya kulipa Kodi, kwahiyo ndio maana nahifadhi ndani.
Nimeanza kuweka pesa toka mwezi wa 5 mwaka huu, nahifadhi kwa ajili ya kulipa Kodi kwa ajili ya muhula unaofata, Kodi yangu yaisha mwezi wa 10.
Jana wakati nimepumzika nikajikuta natamani kujua hadi sasa nimefikisha sh. ngap ili nione kama naweza kulipa kabisa au niongeze ili itimie nilipe Kodi yangu ya mwezi unaofata, chumba nalipa elf 50 ambayo huwa nalipa kwa miezi 6 ili niwe huru kufanya mambo mengine.
Cha ajabu nilichokuta sijui hata niseme nini, yaani niliishia kulia na kucheka kwa pamoja! Nimekuta elf 30 tu wakati nilikuwa lazima ingekuwa hata laki 2 au zaidi.
Jamani jamni hali ilivyo ngumu halafu unapata janga kama hili kiukweli niliishiwa nguvu, tangu jana hadi leo sijatoka kwenda kokote, nahisi kama naumwa.
Jamani kwa anayefahamu haya mambo ya Chuma Ulete naweza rudisha pesa yangu na kama inawezakana je nifanyeje au ndio nishikuru tuu niongee na mwenye nyumba mapema anipe muda wa kujitafuta?
Yaani sijui hata la kufanya, please please naomba mnisaidie cha kufanya sielewi nifanye nini!
Uje nikupe 1000000Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada;

Anataka huruma huyo. Madada kwa kuzusha taharuki!!!Kulikuwa na ulazima gani wa kusema "mimi ni dada"???
Anza kutumia M Koba ya VodaHabari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada;
Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani hizi ambazo naweka kwenye kibubu ni kwa ajili ya kulipa Kodi, kwahiyo ndio maana nahifadhi ndani.
Nimeanza kuweka pesa toka mwezi wa 5 mwaka huu, nahifadhi kwa ajili ya kulipa Kodi kwa ajili ya muhula unaofata, Kodi yangu yaisha mwezi wa 10.
Jana wakati nimepumzika nikajikuta natamani kujua hadi sasa nimefikisha sh. ngap ili nione kama naweza kulipa kabisa au niongeze ili itimie nilipe Kodi yangu ya mwezi unaofata, chumba nalipa elf 50 ambayo huwa nalipa kwa miezi 6 ili niwe huru kufanya mambo mengine.
Cha ajabu nilichokuta sijui hata niseme nini, yaani niliishia kulia na kucheka kwa pamoja! Nimekuta elf 30 tu wakati nilikuwa lazima ingekuwa hata laki 2 au zaidi.
Jamani jamni hali ilivyo ngumu halafu unapata janga kama hili kiukweli niliishiwa nguvu, tangu jana hadi leo sijatoka kwenda kokote, nahisi kama naumwa.
Jamani kwa anayefahamu haya mambo ya Chuma Ulete naweza rudisha pesa yangu na kama inawezakana je nifanyeje au ndio nishikuru tuu niongee na mwenye nyumba mapema anipe muda wa kujitafuta?
Yaani sijui hata la kufanya, please please naomba mnisaidie cha kufanya sielewi nifanye nini!
kuweka hela bank ni kuwa na discipline tu