Farasi wa vita
Member
- Aug 26, 2021
- 53
- 99
Mkuu acha kupekua mkoba wa mke wako, hiyo ni tabia ya hovyo sana.Naomba msaada juu ya hii risiti,,,Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri naomba mnifumbue machoView attachment 2104693
Ungo uliopaki kilingeni, pia unatambuliwa kama usafiri tena ndege!Kasoro mimi tuu ndio sina
Mwache aendelee kupekua pekua tu, siku akikutana na tube ya KY ndio atajua kua hajui.Mkuu acha kupekua mkoba wa mke wako, hiyo ni tabia ya hovyo sana.
[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa we si umuulize mwenyewe au unaogopa atakudunda..?[emoji23]
Positive mind.Alikuwa kwenye gari ya work mate wake seat ya abiria, work mate akampa hela amlipe pump attendant mkeo alipopewa risiti akadumbukiza kwa hand bag yake.
Bata ndiyo kabisaaaa[emoji23]Ukimchunguza kuku humli
Una uhakika gani kama hana usafiri wowote? Vipi kama anamiliki bajaj kwa siri na kumuajiri dereva wa kuiendesha hapo mjini?Sawa sasa yeye hana usafiri wowote imefikaje kwake
Unaeza kuta mke ndo mastermind wa nyumbaSasa siumuulize mkuu, kwani Kuna shida.
Kuna wanaume hopeless kabisa unasearch mkoba wa mkeo ukikutana na pad iliyochafuka kwa kutumika utampigia yowe nani?Umesearch mkoba wa mke wako??? UNATAFUTA KUFA KWA PRESSURE WEWE.... atakuwa amelipia Lodge akaliwa mzigo.
Kna mtu alisachi pochi ya mkewe akakuta ile ky jelly πππPengine za ofisi