Msaada: Nimekuwa mkimya na mgumu sana kuzoeana na watu

Nilikuwa hivyo maisha yakanivuruga mweh! nikaona isiwe tabu acha nichangamke kidogo sasahivi angalau naweza kujimix kokote mi hata nikutane na watoto wa mboga saba naweza kujimix!,nikutane na wenzangu kwangu kukavu tia mchuzi najimix pia!.

unaweza kabisa kubadilika ila usijilazimishe life linaweza likakubadilisha ukachangamka!
 
Hali zenu, #SakoKwaBako!

Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.

Tatizo langu ni la saikoloji, ndivyo watu wa karibu wanavyosema. Nina matatizo yafuatayo:

1. Ni mkimya SANA mpaka nakera. JF ni sehemu ninayojiachia sana. Napenda kutoongea na kuwa kimya muda mwingi. Nimezubaa mno hali inayopelekea kukosa marafiki wengi. Sina marafiki kabisa.

2. Ni mgumu mno wa kuzoeana na watu, mara nyingi napenda kukaa ndani. Naweza nikaamka asubuhi nikakaa ndani mpaka saa 1 jioni, nikala kisha nikarudi ndani.

3. Wengi wananiambia nitaishi maisha magumu mno, hasa ikitokea ninataka kuomba kazi ya kuajiriwa. Hii ni kutokana na kuwa mabosi wengi wanataka watu wachangamfu na waongeaji. Mimi sipo hivyo.

4. Ninapenda muziki, napenda new trends in technology, napenda siasa.

5. Kimsingi inafika wakati najiogopa kwa kweli. Maneno ya watu yananitisha sana. Najiuliza nikaombewe? Au nimerogwa?

NB
Toka utoto nipo hivi. Pia, nikiwa serious kidogo tu unaweza kusema nimechukia, kumbe hata sijachukia. Sura yangu ni tough kiasi. Hali hii inapelekea niwe natabasamu kila nikiongea na mtu, ili nisiwatoe on mood kwa kudhani nimekasirika.

Mimi kwa unyenyekevu mkubwa, naomba msaada. Mficha uchi hazai.

Nimejaribu kila njia nimeshindwa. Kuwapapatikia watu napo nimeshindwa kabisa. Siwezi kufosi uchangamfu kabisa. Help please!
Hivyo hivyo ulivyo jikubali 👑
 
Mimi pia nimeishi hivyo utoto wangu wote ila nilianza kuchange baada ya kuish uboyzini na nilipoanza kufanya biashara na kaz za hapa na pale basi ile Customer care ikanimix na jamii, kwa sasa atleast ninaconfidence kubwa sana ila nimemaintain kiburi tu kwa kuwapuuza baadhi ya watu.

Kama hatuna story common (ziwe za maana hata za hovyo) na hatuna biashara tunaeza tusiongee miaka buku ila salam uhakika.
 
Hali zenu, #SakoKwaBako!

Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.

Tatizo langu ni la saikoloji, ndivyo watu wa karibu wanavyosema. Nina matatizo yafuatayo:

1. Ni mkimya SANA mpaka nakera. JF ni sehemu ninayojiachia sana. Napenda kutoongea na kuwa kimya muda mwingi. Nimezubaa mno hali inayopelekea kukosa marafiki wengi. Sina marafiki kabisa.

2. Ni mgumu mno wa kuzoeana na watu, mara nyingi napenda kukaa ndani. Naweza nikaamka asubuhi nikakaa ndani mpaka saa 1 jioni, nikala kisha nikarudi ndani.

3. Wengi wananiambia nitaishi maisha magumu mno, hasa ikitokea ninataka kuomba kazi ya kuajiriwa. Hii ni kutokana na kuwa mabosi wengi wanataka watu wachangamfu na waongeaji. Mimi sipo hivyo.

4. Ninapenda muziki, napenda new trends in technology, napenda siasa.

5. Kimsingi inafika wakati najiogopa kwa kweli. Maneno ya watu yananitisha sana. Najiuliza nikaombewe? Au nimerogwa?

NB
Toka utoto nipo hivi. Pia, nikiwa serious kidogo tu unaweza kusema nimechukia, kumbe hata sijachukia. Sura yangu ni tough kiasi. Hali hii inapelekea niwe natabasamu kila nikiongea na mtu, ili nisiwatoe on mood kwa kudhani nimekasirika.

Mimi kwa unyenyekevu mkubwa, naomba msaada. Mficha uchi hazai.

Nimejaribu kila njia nimeshindwa. Kuwapapatikia watu napo nimeshindwa kabisa. Siwezi kufosi uchangamfu kabisa. Help please!
Kama huko unakojifungia unafanya delivery unatafuna mbususu haina shida ila kama unakaa ndani tu ukitoka nje unanunua sabuni unarudi mafichoni hapo ndo shida ilipo.
 
Hali zenu, #SakoKwaBako!

Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.

Tatizo langu ni la saikoloji, ndivyo watu wa karibu wanavyosema. Nina matatizo yafuatayo:

1. Ni mkimya SANA mpaka nakera. JF ni sehemu ninayojiachia sana. Napenda kutoongea na kuwa kimya muda mwingi. Nimezubaa mno hali inayopelekea kukosa marafiki wengi. Sina marafiki kabisa.

2. Ni mgumu mno wa kuzoeana na watu, mara nyingi napenda kukaa ndani. Naweza nikaamka asubuhi nikakaa ndani mpaka saa 1 jioni, nikala kisha nikarudi ndani.

3. Wengi wananiambia nitaishi maisha magumu mno, hasa ikitokea ninataka kuomba kazi ya kuajiriwa. Hii ni kutokana na kuwa mabosi wengi wanataka watu wachangamfu na waongeaji. Mimi sipo hivyo.

4. Ninapenda muziki, napenda new trends in technology, napenda siasa.

5. Kimsingi inafika wakati najiogopa kwa kweli. Maneno ya watu yananitisha sana. Najiuliza nikaombewe? Au nimerogwa?

NB
Toka utoto nipo hivi. Pia, nikiwa serious kidogo tu unaweza kusema nimechukia, kumbe hata sijachukia. Sura yangu ni tough kiasi. Hali hii inapelekea niwe natabasamu kila nikiongea na mtu, ili nisiwatoe on mood kwa kudhani nimekasirika.

Mimi kwa unyenyekevu mkubwa, naomba msaada. Mficha uchi hazai.

Nimejaribu kila njia nimeshindwa. Kuwapapatikia watu napo nimeshindwa kabisa. Siwezi kufosi uchangamfu kabisa. Help please!
Oa kijana
 
Nadhani mi naweza kukuzidi sasa...kwanza ninayo kichwa amazing mpaka shule walikuwa wananiita Mkapa sometimes mgiriki, kuhusu kushinda ndani yaani ndio naweza nikamaliza hata weekend nzima nipo ndani kikubwa chakula na movies niwe navyo ndani naweza nisitoke ndani mpaka jumamatu kwenda kazini... Kazini kwenyewe pia nna kaofisi kangu yaani nikijisondeka humo nikula tu WiFi ya ofisi kupakua movie akija mwananchi namhudumia imeisha hiyo naweza nikamaliza siku nzima ofisini nimeongea na watu wasifike watano..kwenye vikao kama hakuna hoja yangu ama ajenda inayonihusu naweza nisiongee mpaka kikao kinaisha...kwenye gambe hivyohivyo tunaweza kukaa kilinge mi ni pombe mziki wenyewe ni Kusikiliza tu sio mpenzi wa kibanjuka.... Lakini kwenye jamii fresh tu....Misiba Harusi Nini lakini ukifika pale ni salamu natulia nasubiri utaratibu. Ishi tu usiwaze sana
 
Hali zenu, #SakoKwaBako!

Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.

Tatizo langu ni la saikoloji, ndivyo watu wa karibu wanavyosema. Nina matatizo yafuatayo:

1. Ni mkimya SANA mpaka nakera. JF ni sehemu ninayojiachia sana. Napenda kutoongea na kuwa kimya muda mwingi. Nimezubaa mno hali inayopelekea kukosa marafiki wengi. Sina marafiki kabisa.

2. Ni mgumu mno wa kuzoeana na watu, mara nyingi napenda kukaa ndani. Naweza nikaamka asubuhi nikakaa ndani mpaka saa 1 jioni, nikala kisha nikarudi ndani.

3. Wengi wananiambia nitaishi maisha magumu mno, hasa ikitokea ninataka kuomba kazi ya kuajiriwa. Hii ni kutokana na kuwa mabosi wengi wanataka watu wachangamfu na waongeaji. Mimi sipo hivyo.

4. Ninapenda muziki, napenda new trends in technology, napenda siasa.

5. Kimsingi inafika wakati najiogopa kwa kweli. Maneno ya watu yananitisha sana. Najiuliza nikaombewe? Au nimerogwa?

NB
Toka utoto nipo hivi. Pia, nikiwa serious kidogo tu unaweza kusema nimechukia, kumbe hata sijachukia. Sura yangu ni tough kiasi. Hali hii inapelekea niwe natabasamu kila nikiongea na mtu, ili nisiwatoe on mood kwa kudhani nimekasirika.

Mimi kwa unyenyekevu mkubwa, naomba msaada. Mficha uchi hazai.

Nimejaribu kila njia nimeshindwa. Kuwapapatikia watu napo nimeshindwa kabisa. Siwezi kufosi uchangamfu kabisa. Help please!
Nadhani mi naweza kukuzidi sasa...kwanza ninayo kichwa amazing mpaka shule walikuwa wananiita Mkapa sometimes mgiriki, kuhusu kushinda ndani yaani ndio naweza nikamaliza hata weekend nzima nipo ndani kikubwa chakula na movies niwe navyo ndani naweza nisitoke ndani mpaka jumamatu kwenda kazini... Kazini kwenyewe pia nna kaofisi kangu yaani nikijisondeka humo nikula tu WiFi ya ofisi kupakua movie akija mwananchi namhudumia imeisha hiyo naweza nikamaliza siku nzima ofisini nimeongea na watu wasifike watano..kwenye vikao kama hakuna hoja yangu ama ajenda inayonihusu naweza nisiongee mpaka kikao kinaisha...kwenye gambe hivyohivyo tunaweza kukaa kilinge mi ni pombe mziki wenyewe ni Kusikiliza tu sio mpenzi wa kibanjuka.... Lakini kwenye jamii fresh tu....Misiba Harusi Nini lakini ukifika pale ni salamu natulia nasubiri utaratibu. Ishi tu usiwaze sana.
 
The most difficult thing is decision to act, the rest is merely tenacity. The fears are paper tigers. You can do anything you decide to do. You can act to change your life; and the procedure, the process is its own reward. ~Amelia Earhart
 
Back
Top Bottom