Msaada: Nimekuwa mkimya na mgumu sana kuzoeana na watu

Usikubali maisha yakushape wewe unauwezo waku yashape maisha kwa kila kitu juu yako na kwa wengine.
Uhakika, kuna ile unakua na mitazamo hii lakin maisha yanakuprove wrong. Hapo huwezi pingana na nature.
Tukifanikiwa kuyanyoosha maisha yaende tunavyotaka ni jambo la Kumshukuru sana Mungu maana si mara zote inawezekana.
 
Uhakika, kuna ile unakua na mitazamo hii lakin maisha yanakuprove wrong. Hapo huwezi pingana na nature.
Tukifanikiwa kuyanyoosha maisha yaende tunavyotaka ni jambo la Kumshukuru sana Mungu maana si mara zote inawezekana.
Kwanza huyu huyo Mungu wa Israel hayupo ila unaweza kutumia kanuni tu za ulimwengu ukafanya unachokitaka.
 
Puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli puli
Acha hio kitu.
 
Kwanza huyu huyo Mungu wa Israel hayupo ila unaweza kutumia kanuni tu za ulimwengu ukafanya unachokitaka.
Mashaka juu ya uwepo wa Mungu ni imani yangu pia lakin huwa siwez kushare wala kuonyesha msimamo wangu juu yake maana halimake money hivyo halimake sense huwa nachagua kulipuuza tu, mimi naogopa kupotosha wengine nikipotea mwenyewe inatosha mkuu🤣

Siku watu wakichomwa moto watakushika shati min -me ndo alisema haupo Mungu.
 
Jaribu kujichanganya kidogo, maisha ya hivyo yanaua confidence kwa asilimia fulani
 
Nina uhakika kwa ninachokisema kwa namna yoyote ile mkuu , wala sina hofu kabisa.
 
Wewe ni introvert, Huna shida kabisa. Introverts wengi huwa na qualities unique sana na ukitulia utaweza kufika mbali. Soma zaidi kuhusu hii character ujielewe itakusaidia kujiongoza na kujua cha kufanya.
 
Ukielewa unachokipenda zaidi, wekeza muda wako kwenye hicho kitu na ujiongeze thamani, hakuna adui mbaya kama anayekupotezea muda na ndicho utakipata ukitafuta anntention kwa watu.

Usiogope watu, wakikuuliza kwanini uko hivyo waambie huwezi kuwa wao na hawawezi kuwa wewe.

Mwisho kabisa, dawa ya kukishinda chochote ni kukikabiri hakuna miujiza, kama kuna tabia huipendi na unataka ubadilike sharti ni kufanya vile unaona huwezi kufanya taratibu utazoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…