Msaada: Nimekuwa mkimya na mgumu sana kuzoeana na watu

Kuna kitu hujatuambia kuwa huwa unapiga sana nyeto na kuangalia porno.. sema tu mkuu tukupe ushauri pia
 
Jf ninayoijua mimi kila mtu atacoment nae ni mkimnya hapa ikianza mambo ya single maza kila mtu hataki single maza basi kila kitu wao wamo khah
 
Sema umezubaa..Acha kujificha kwenye kivuli cha ukimya.
 
Aiseee niko kama ww af ninapambana na suicidal thoughts hali hii ni hatar sana..
 
Fanya uanze kujichanganya na watu usikae kindezi hivyo,siku ukipatwa na msala ndio utajua haujui
 
Hio hali uliokua nayo hata mm inanitesa apo kiukweli unakosa kujiamini ,,kuskia aibu mara kwa mara ,,kujistukizia unapotembea yani unahisi watu wote wanakuangalia na kukusema wewe njian ,,ukivaa nguo za kupendeza unajishtukizia kama unaonewa chuki na unaopishana nao kiufupi hii hali inawatesa weng mim kaka ako nagonga miaka 32 hapa mpka leo hii hali inaitesa na ndio maana nmeamua kujiajiri mwenye ili kuepusha mizozo na maboss na wafanyakz wenzangu maana wanahis kma nina zarau na jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…