Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

Kapime ukimwi,cancer na kisukar na angalia Kama kuna dawa zozote unazotumia za MDA mrefu zikashusha kinga au kuvuruga normal flora mdomoni uziache
 
Tumia Colgate max fresh ile ya mints flavour utakuwa ok mkuu kuna mtu alishapona kwa njia hyo.
 
Aisee mimi pia napatwa na tatizo hilo mdomo unachanika na nimeambiwa ni fangasi kuhusu kufanya ngono last time ilikua nwezi wa kwanza nipo mbali na wife so sijawahi hata kumbusu mwanamke so mtu anapotoa ushauli azingatie hili
Mke wako niko nae huku najilia tu
 
Mke wako niko nae huku najilia tu
We kula tuu ila mi natembelea usemi mhm sana kutoka kwa babu yangu ukiamua kutafuta hela basi usichanganye na ngono hv vitu havikai pamoja,ukiviweka pamoja uwezekano wa kufeli ni mkubwa na mara nyingi mafanikio hufunikwa na ngono so mi nineamua kutafuta kwanza then nitaungana na familia yangu
 
Uko sahihi mkuu,hapa nataka mumtimua shemeji yako arudi kwao naona amekuwa kikwazo sana kwa mafanikio yangu,kuna mishe nashindwa kuzipiga sababu yake
 
Pharmacist wangekuwa wanapigwa faini kubwa kwa kuuza dawa kama njugu
Watu wanakufa kwa dawa wanazotoa bila hata kuhoji kama una matatizo mengine ya kiafya

Acheni kwenda pharmacy kisa unaogopa foleni ya hospitals
 
Aisee mimi pia napatwa na tatizo hilo mdomo unachanika na nimeambiwa ni fangasi kuhusu kufanya ngono last time ilikua nwezi wa kwanza nipo mbali na wife so sijawahi hata kumbusu mwanamke so mtu anapotoa ushauli azingatie hili
Josse kongolo hii id yako imenikumbusha mbali sana mwanangu. Bila shaka utakua mdau wa Mayenu na Rhumba.
Kwa kujiita tu Hilo jina huwez kaa toka Januari hadi leo Oktoba bila kugegeda mkuu. Pale DRC Josse Kongolo alikuwa anatafuna manzi 6 hadi 10 kwa siku so acha fix.
 
πŸ˜„ Michezo yenu ya kupiga kapeti hio, ushayavagaa kudadadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…