Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapime ukimwi,cancer na kisukar na angalia Kama kuna dawa zozote unazotumia za MDA mrefu zikashusha kinga au kuvuruga normal flora mdomoni uziacheE bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana nkarudi tena siku nyngnd baada ta kumaliza nkapewa dawa ile ile pamoja na dawa ya multivitamin tablet ya vidonge ambayo nakunywa asubuh na jion mpka sas hv naona nakarbia kuimaliza week lkn sion utofauti wakuu nlkua naomba kwa anaejua labda kuna matbabu mengne
Halafu nashangaa mi sjawahi kuzama kunyonya uke kabsa najiuliza nimeupataje au huu ugonjwa unaambukizwa kwa kula denda? Pia
Msaada weny wa kimawazo wakuu
Tumia Colgate max fresh ile ya mints flavour utakuwa ok mkuu kuna mtu alishapona kwa njia hyo.E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana nkarudi tena siku nyngnd baada ta kumaliza nkapewa dawa ile ile pamoja na dawa ya multivitamin tablet ya vidonge ambayo nakunywa asubuh na jion mpka sas hv naona nakarbia kuimaliza week lkn sion utofauti wakuu nlkua naomba kwa anaejua labda kuna matbabu mengne
Halafu nashangaa mi sjawahi kuzama kunyonya uke kabsa najiuliza nimeupataje au huu ugonjwa unaambukizwa kwa kula denda? Pia
Msaada weny wa kimawazo wakuu
Mke wako niko nae huku najilia tuAisee mimi pia napatwa na tatizo hilo mdomo unachanika na nimeambiwa ni fangasi kuhusu kufanya ngono last time ilikua nwezi wa kwanza nipo mbali na wife so sijawahi hata kumbusu mwanamke so mtu anapotoa ushauli azingatie hili
sawa mkuu nitanunua hyo piaTumia Colgate max fresh ile ya mints flavour utakuwa ok mkuu kuna mtu alishapona kwa njia hyo.
sawa mkuuKapime ukimwi,cancer na kisukar na angalia Kama kuna dawa zozote unazotumia za MDA mrefu zikashusha kinga au kuvuruga normal flora mdomoni uziache
We kula tuu ila mi natembelea usemi mhm sana kutoka kwa babu yangu ukiamua kutafuta hela basi usichanganye na ngono hv vitu havikai pamoja,ukiviweka pamoja uwezekano wa kufeli ni mkubwa na mara nyingi mafanikio hufunikwa na ngono so mi nineamua kutafuta kwanza then nitaungana na familia yanguMke wako niko nae huku najilia tu
Uko sahihi mkuu,hapa nataka mumtimua shemeji yako arudi kwao naona amekuwa kikwazo sana kwa mafanikio yangu,kuna mishe nashindwa kuzipiga sababu yakeWe kula tuu ila mi natembelea usemi mhm sana kutoka kwa babu yangu ukiamua kutafuta hela basi usichanganye na ngono hv vitu havikai pamoja,ukiviweka pamoja uwezekano wa kufeli ni mkubwa na mara nyingi mafanikio hufunikwa na ngono so mi nineamua kutafuta kwanza then nitaungana na familia yangu
Na kichwa kina spring pia 😄Kamueleze Daktari ukweli wote tafadhali maana wakikomaa utakuwa unateseka
MPAKA USIKU
MPAKA USIKU
MPAKA USIKU WA MANANE
MPAKA USIKU.
😂😂😂😄Na kichwa kina spring pia 😄
Vitamin b complex tu apo ina malz akila kitusawa mkuu
Popote mradi iwe hospitali hata ulaya nenda!sawa mkuu
sawa mkuu ngja nianzie hopstal za kwetu chini au kuna haja ya kwenda mwanayamala kansa mkuu..?
Josse kongolo hii id yako imenikumbusha mbali sana mwanangu. Bila shaka utakua mdau wa Mayenu na Rhumba.Aisee mimi pia napatwa na tatizo hilo mdomo unachanika na nimeambiwa ni fangasi kuhusu kufanya ngono last time ilikua nwezi wa kwanza nipo mbali na wife so sijawahi hata kumbusu mwanamke so mtu anapotoa ushauli azingatie hili
E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana nkarudi tena siku nyngnd baada ta kumaliza nkapewa dawa ile ile pamoja na dawa ya multivitamin tablet ya vidonge ambayo nakunywa asubuh na jion mpka sas hv naona nakarbia kuimaliza week lkn sion utofauti wakuu nlkua naomba kwa anaejua labda kuna matbabu mengne
Halafu nashangaa mi sjawahi kuzama kunyonya uke kabsa najiuliza nimeupataje au huu ugonjwa unaambukizwa kwa kula denda? Pia
Msaada weny wa kimawazo wakuu
🤣 Kwani mnakubaligi sasa 🤣Akuu! Mi sipendi kabisaaa!! Mtu akitaka tugombane aseme habari za kunizamia chumvini [emoji57][emoji57]
Mpaka usiku😂😂😂😄