Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

tumia tangawiz na limao....

Chukua tangawiz saga angalau kidole gumba, chukua limao Zika kamua kwenye maji ya vuguvugu kikombe kimoja... Unywe na yale machicha baada ya week 1 utakuwa mzima kabisa.

Unaweza weka asali au usiweke kitu ni sawa
 
nakunywa kwa muda gani mkuu asubuhi na jioni au
 
mkuu sijanyonya uchi ila ni hali ambay imenitokea week mbili hzi mi nachohis nmeambukizwa kwa kula denda kama huu ugonjwa unaenea kwa njia hyo iLa kunyonya uchi sijawahi aisee
Nadhani huyo demu uliyemla denda, Ni wale wanyonya mikuyenge na sperms.

Ukipiga denda demu yeyote yule, Baada ya hapo ni kuswaki mara tano kwa dawa nyingi ya meno.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Umejaa wenge mbona casual hio
Nenda kanunue Fluconazole tabs akupe dozi nzima unywe week 2 hadi mwezi utakua hauna fungus popote mwilini
 
Kwamuda unaofikiria kufanya maamuzi ya hospital,,hebu anza na kuswaki Kwa jivu sugua vzr ulimi usiku huu na asubuhi! Harafu kamuone daktr
sawa mkuu asante sana kwa ushauri ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom