Eti jamani,. Anasema alitia kwenye jino lililotoboka zamani sijui 2014 huko mpaka leo ana matatizo ya fizi na meno,. Na ananuka mdomo kweli kweli hata atumie dawa ipi kama ameoza aiseeKwa iyo nae ak
Kwa iyo nae akaamini ni dawa akaiweka kwenye meno 😱😱
KabisaAjue kuchora sasa, atachora kama msumari we kikofia ule 🤣🤣
Tiba Inaanza kwa kuibinua sio 😂Hamna mkuu nataka tu nimpe tiba
Tunachunguza kwanza tatizo ndani na nje halafu tuone inakuwajeTiba Inaanza kwa kuibinua sio 😂
Akikipasua tu rip 🤣🤣🤣🤣
Ingia chat gpt mkuu au deepseek watakupa majibu yatakayoeleweka.Aseee Kuna hii kitu imetokea kwenye Tupu yangu, inaweza ikawa ni tatizo gani
Kumradhi , nimeambatanisha na pichaView attachment 3225619
Huo mdomo kaanza kunuka baada ya kutumia maji ya betri?Eti jamani,. Anasema alitia kwenye jino lililotoboka zamani sijui 2014 huko mpaka leo ana matatizo ya fizi na meno,. Na ananuka mdomo kweli kweli hata atumie dawa ipi kama ameoza aisee
Kiufupi mdomo wake uliungua halafu ukaozaEti jamani,. Anasema alitia kwenye jino lililotoboka zamani sijui 2014 huko mpaka leo ana matatizo ya fizi na meno,. Na ananuka mdomo kweli kweli hata atumie dawa ipi kama ameoza aisee
Ndio anavyosema mwenyewe akiulizwaHuo mdomo kaanza kunuka baada ya kutumia maji ya betri?
Unakaaje single na wakati wajuba tupoNgoja kwanza nikapige mswaki ndo ninywe chai,. Anawekaje kinaniliii mapema hii asubuhi jamani wakati wenzie tuko single😑😑
Nachoshindwa kuelewa ni kwamba hospitali hakuna treatment labda za kumweka sawa?,. Maana anasema huwa anaenda lakini hawajai kumsaidia chochote🤔Kiufupi mdomo wake uliungua halafu ukaoza
Anza kuweka akiba ya kwa ajili yà ARV. TRUMP kasems hakuna zà bure tena.Aseee Kuna hii kitu imetokea kwenye Tupu yangu, inaweza ikawa ni tatizo gani
Kumradhi , nimeambatanisha na pichaView attachment 3225619
😀😀😀Binua kwanza hivi kidogo hapo kwenye kidole,. Nataka niangalie kitu
Duh pole yake na ukute aliunguza vitu tumboni ndo maana mdomo ukaanza kutema 😆Ndio anavyosema mwenyewe akiulizwa