Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Habari zenyu wataalam,

Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa.

Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo nimekutana na viji mambo mambo ya hovyo hovyo pamoja ya hayo nimechukulia ni tofauti za kimaumbile na makuzi.

Nimepata changamoto za kiafya ikiwa ni UTi na infection zingine za bacteria wanaombukizwa kwa njia za kujamiiana, kwakua hua na pima HIV pekee kujiridhisha na kuacha kupima STDs.

Sasa kinachonitokea sasa hivi nikutokusikia radha ya tendo la ndoa kiasi ya kwamba nimeacha kuomba tendo la ndoa kwa wanawake zangu mpaka wao watakapo force saana.

Nnapoelekea sioni faida ya kua na wanawake wala kufanya tendo la ndoa zaidi ya kukuaa single labda kujichua kama nikizidiwa saana. Hivyo naona ni jambo la hatari kwa mustakabali wa baadae,

Hivyo naomba msaada wenu tatizo ni nini na ni nini tiba yake.

Natanguliza shukrani🙏
 
FB_IMG_1715871168859.jpg
 
Hili jambo nilidhani ni mimi tu napitia lakini nahisi ni kitu hakipo sawa ..... Nina nguvu za kiume,nasimamisha fresh ninafanya mazoezi lakini inafika hatua sioni hamu ya mapenzi kabisa wala sitamani kufanya mapenzi mpaka sasa nina mwaka 1 na miezi sita sijawahi fanya mapenzi na pia sina hamu ya tendo kuhusu lishe nazingatia sana ...tena sana maji sana .... Kila asubuhi uume lazima usimame kwa nguvu kabisa kunikumbusha kuwa mimi ni nani lakini sina hamu na tendo wakuu na sijichui wala nini
 
Back
Top Bottom