Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

Tupo wengi kumbe
Hili jambo nilidhani ni mimi tu napitia lakini nahisi ni kitu hakipo sawa ..... Nina nguvu za kiume,nasimamisha fresh ninafanya mazoezi lakini inafika hatua sioni hamu ya mapenzi kabisa wala sitamani kufanya mapenzi mpaka sasa nina mwaka 1 na miezi sita sijawahi fanya mapenzi na pia sina hamu ya tendo kuhusu lishe nazingatia sana ...tena sana maji sana .... Kila asubuhi uume lazima usimame kwa nguvu kabisa kunikumbusha kuwa mimi ni nani lakini sina hamu na tendo wakuu na sijichui wala ninit
 
Chochote ukizidisha kina kinai. Solution achana na Sex mkuu kwa mda fulani Utarudi kwenye ubora. May be a year!!
 
Ladha iko kichwani..format upya ubongo wako..
 
Back
Top Bottom