Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

Habari zenyu wataalam,

Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa.

Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo nimekutana na viji mambo mambo ya hovyo hovyo pamoja ya hayo nimechukulia ni tofauti za kimaumbile na makuzi.

Nimepata changamoto za kiafya ikiwa ni UTi na infection zingine za bacteria wanaombukizwa kwa njia za kujamiiana, kwakua hua na pima HIV pekee kujiridhisha na kuacha kupima STDs.

Sasa kinachonitokea sasa hivi nikutokusikia radha ya tendo la ndoa kiasi ya kwamba nimeacha kuomba tendo la ndoa kwa wanawake zangu mpaka wao watakapo force saana.

Nnapoelekea sioni faida ya kua na wanawake wala kufanya tendo la ndoa zaidi ya kukuaa single labda kujichua kama nikizidiwa saana. Hivyo naona ni jambo la hatari kwa mustakabali wa baadae,

Hivyo naomba msaada wenu tatizo ni nini na ni nini tiba yake.

Natanguliza shukrani🙏
umepata psychological trauma ndio inayokutesa !! kutokana na madhara uliyoyapata unahitaji mwana psychology na unahitaj kuacha umalaya
 
Habari zenyu wataalam,

Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa.

Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo nimekutana na viji mambo mambo ya hovyo hovyo pamoja ya hayo nimechukulia ni tofauti za kimaumbile na makuzi.

Nimepata changamoto za kiafya ikiwa ni UTi na infection zingine za bacteria wanaombukizwa kwa njia za kujamiiana, kwakua hua na pima HIV pekee kujiridhisha na kuacha kupima STDs.

Sasa kinachonitokea sasa hivi nikutokusikia radha ya tendo la ndoa kiasi ya kwamba nimeacha kuomba tendo la ndoa kwa wanawake zangu mpaka wao watakapo force saana.

Nnapoelekea sioni faida ya kua na wanawake wala kufanya tendo la ndoa zaidi ya kukuaa single labda kujichua kama nikizidiwa saana. Hivyo naona ni jambo la hatari kwa mustakabali wa baadae,

Hivyo naomba msaada wenu tatizo ni nini na ni nini tiba yake.

Natanguliza shukrani🙏
pumzika mahusiano, safiri badilisha eneo
 
Hili jambo nilidhani ni mimi tu napitia lakini nahisi ni kitu hakipo sawa ..... Nina nguvu za kiume,nasimamisha fresh ninafanya mazoezi lakini inafika hatua sioni hamu ya mapenzi kabisa wala sitamani kufanya mapenzi mpaka sasa nina mwaka 1 na miezi sita sijawahi fanya mapenzi na pia sina hamu ya tendo kuhusu lishe nazingatia sana ...tena sana maji sana .... Kila asubuhi uume lazima usimame kwa nguvu kabisa kunikumbusha kuwa mimi ni nani lakini sina hamu na tendo wakuu na sijichui wala nini
Mwaka mmoja mkuu , kuna tatizo mahali nenda hospital
 
Hili jambo nilidhani ni mimi tu napitia lakini nahisi ni kitu hakipo sawa ..... Nina nguvu za kiume,nasimamisha fresh ninafanya mazoezi lakini inafika hatua sioni hamu ya mapenzi kabisa wala sitamani kufanya mapenzi mpaka sasa nina mwaka 1 na miezi sita sijawahi fanya mapenzi na pia sina hamu ya tendo kuhusu lishe nazingatia sana ...tena sana maji sana .... Kila asubuhi uume lazima usimame kwa nguvu kabisa kunikumbusha kuwa mimi ni nani lakini sina hamu na tendo wakuu na sijichui wala nini
inawezekana unapata mafunzo ya u padre
 
Njoo kwangu nna tiba yako, seriously.
 
Habari zenyu wataalam,

Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa.

Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo nimekutana na viji mambo mambo ya hovyo hovyo pamoja ya hayo nimechukulia ni tofauti za kimaumbile na makuzi.

Nimepata changamoto za kiafya ikiwa ni UTi na infection zingine za bacteria wanaombukizwa kwa njia za kujamiiana, kwakua hua na pima HIV pekee kujiridhisha na kuacha kupima STDs.

Sasa kinachonitokea sasa hivi nikutokusikia radha ya tendo la ndoa kiasi ya kwamba nimeacha kuomba tendo la ndoa kwa wanawake zangu mpaka wao watakapo force saana.

Nnapoelekea sioni faida ya kua na wanawake wala kufanya tendo la ndoa zaidi ya kukuaa single labda kujichua kama nikizidiwa saana. Hivyo naona ni jambo la hatari kwa mustakabali wa baadae,

Hivyo naomba msaada wenu tatizo ni nini na ni nini tiba yake.

Natanguliza shukrani🙏
Jambo kama hilo liliwahi kunipata mkuu. Nlichofanya mimi nlihama Njian(Lami) nkaamia rough road( Barabara ya Tope). Had leo nnafurahia maisha
 
Kwa kawaida hakuna ladha ya tendo la ndoa ila Kuna raha inapatikana unapokuwa unamwaga ,

- yaani unapokuwa unafanya sio kama Kuna Radha hapana unasubr utamu wa kirere Cha mlima.

Sasa kwa maelezo yako inaonyesha Kuna infection umepata kupitia STDs hizo infection zimeharibu baadhi ya mifumo kinachotokea kwako ni kukosa hamu ya kushiriki tendo na sio huoni radha
Na ndio maana unakiri wewe mwenyewe kabisa hufanyi Hadi wakulazimishe
Nenda hospital tibiwa ,Fanya mazoezi , kula vizur kunywa maji Kwa wingi mwisho tafuta Hela , maana ukiwa huna Hela Hata hamu Huwa zinakata mdogo mdogo

utakuja na bandiko lingine hapa la umekuwa mchakataji kama zamani🙏
 
Nshajaribu nikaambulia maradhi na msongo wa mawazo na wala sijaona ladha yake
 
Kwa kawaida hakuna ladha ya tendo la ndoa ila Kuna raha inapatikana unapokuwa unamwaga ,

- yaani unapokuwa unafanya sio kama Kuna Radha hapana unasubr utamu wa kirere Cha mlima.

Sasa kwa maelezo yako inaonyesha Kuna infection umepata kupitia STDs hizo infection zimeharibu baadhi ya mifumo kinachotokea kwako ni kukosa hamu ya kushiriki tendo na sio huoni radha
Na ndio maana unakiri wewe mwenyewe kabisa hufanyi Hadi wakulazimishe
Nenda hospital tibiwa ,Fanya mazoezi , kula vizur kunywa maji Kwa wingi mwisho tafuta Hela , maana ukiwa huna Hela Hata hamu Huwa zinakata mdogo mdogo

utakuja na bandiko lingine hapa la umekuwa mchakataji kama zamani🙏
Kote sawa ila kipengele cha hela nakataa...
Infact nikiwa na hela huwa siwazi umalaya tofauti nikiwa sina na hili naona linatokea saa hizi
 
Nyumbani kwenyewe ukila wali kila siku unakukifu. Tulia, jipe muda. Hizo ham zitarejea
Yaani ina maana wewe huli wali kila siku?Unanitia mashaka dada wa Njiro.Au ni figure of speech tu?
 
Back
Top Bottom