Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

Habari zenyu wataalam,

Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa.

Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo nimekutana na viji mambo mambo ya hovyo hovyo pamoja ya hayo nimechukulia ni tofauti za kimaumbile na makuzi.

Nimepata changamoto za kiafya ikiwa ni UTi na infection zingine za bacteria wanaombukizwa kwa njia za kujamiiana, kwakua hua na pima HIV pekee kujiridhisha na kuacha kupima STDs.

Sasa kinachonitokea sasa hivi nikutokusikia radha ya tendo la ndoa kiasi ya kwamba nimeacha kuomba tendo la ndoa kwa wanawake zangu mpaka wao watakapo force saana.

Nnapoelekea sioni faida ya kua na wanawake wala kufanya tendo la ndoa zaidi ya kukuaa single labda kujichua kama nikizidiwa saana. Hivyo naona ni jambo la hatari kwa mustakabali wa baadae,

Hivyo naomba msaada wenu tatizo ni nini na ni nini tiba yake.

Natanguliza shukrani🙏
Nenda kapime viwango vya hormone kama vimekaa sawa.
 
Hili jambo nilidhani ni mimi tu napitia lakini nahisi ni kitu hakipo sawa ..... Nina nguvu za kiume,nasimamisha fresh ninafanya mazoezi lakini inafika hatua sioni hamu ya mapenzi kabisa wala sitamani kufanya mapenzi mpaka sasa nina mwaka 1 na miezi sita sijawahi fanya mapenzi na pia sina hamu ya tendo kuhusu lishe nazingatia sana ...tena sana maji sana .... Kila asubuhi uume lazima usimame kwa nguvu kabisa kunikumbusha kuwa mimi ni nani lakini sina hamu na tendo wakuu na sijichui wala n

Hili jambo nilidhani ni mimi tu napitia lakini nahisi ni kitu hakipo sawa ..... Nina nguvu za kiume,nasimamisha fresh ninafanya mazoezi lakini inafika hatua sioni hamu ya mapenzi kabisa wala sitamani kufanya mapenzi mpaka sasa nina mwaka 1 na miezi sita sijawahi fanya mapenzi na pia sina hamu ya tendo kuhusu lishe nazingatia sana ...tena sana maji sana .... Kila asubuhi uume lazima usimame kwa nguvu kabisa kunikumbusha kuwa mimi ni nani lakini sina hamu na tendo wakuu na sijichui wala nini
Case yako ni tofaut na mleta mada, wewe haupati hamu ya tendo, libido imepungua lakini YY hapati ladha yeyote

Kwa ww nashauri kacheck testosterone level
 
Nnapoelekea sioni faida ya kua na wanawake wala kufanya tendo la ndoa zaidi ya kukuaa single labda kujichua kama nikizidiwa saana. Hivyo naona ni jambo la hatari kwa mustakabali wa baadae,

Hivyo naomba msaada wenu tatizo ni nini na ni nini tiba yake.

Natanguliza shukrani🙏
Tatizo ni saikolojia- ukishaanza kupata magonjwa ya zinaa Kila mwanamke ukimuona unamuona mchafu.
Hapo tafuta kwanza mwanamke mmoja ambaye hatakuwa na hayo magonjwa upige upige kwa muda mpaka saikolojia irudi sawa
 
Habari zenyu wataalam,

Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa.

Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo nimekutana na viji mambo mambo ya hovyo hovyo pamoja ya hayo nimechukulia ni tofauti za kimaumbile na makuzi.

Nimepata changamoto za kiafya ikiwa ni UTi na infection zingine za bacteria wanaombukizwa kwa njia za kujamiiana, kwakua hua na pima HIV pekee kujiridhisha na kuacha kupima STDs.

Sasa kinachonitokea sasa hivi nikutokusikia radha ya tendo la ndoa kiasi ya kwamba nimeacha kuomba tendo la ndoa kwa wanawake zangu mpaka wao watakapo force saana.

Nnapoelekea sioni faida ya kua na wanawake wala kufanya tendo la ndoa zaidi ya kukuaa single labda kujichua kama nikizidiwa saana. Hivyo naona ni jambo la hatari kwa mustakabali wa baadae,

Hivyo naomba msaada wenu tatizo ni nini na ni nini tiba yake.

Natanguliza shukrani🙏
Kapime sukari mkuu
 
Umeongea point saaana... i take a note
 
Hili jambo nilidhani ni mimi tu napitia lakini nahisi ni kitu hakipo sawa ..... Nina nguvu za kiume,nasimamisha fresh ninafanya mazoezi lakini inafika hatua sioni hamu ya mapenzi kabisa wala sitamani kufanya mapenzi mpaka sasa nina mwaka 1 na miezi sita sijawahi fanya mapenzi na pia sina hamu ya tendo kuhusu lishe nazingatia sana ...tena sana maji sana .... Kila asubuhi uume lazima usimame kwa nguvu kabisa kunikumbusha kuwa mimi ni nani lakini sina hamu na tendo wakuu na sijichui wala nini
Una jini mahaba mwanamke
 
Hapo kwenye wanawake tofauti tifauti ndo tatizo. Ukitaka kugundua nini? Hadi ukapata magonjwa ya zinaa maana yake wewe ni zoazoa
Sister wanawake weupe wakali na matawi ndio nimewakuta na mauza uza yaan usafi wa nje tuu...
Mpaka sasa nikiona demu mweupe naona UTI na PID ninauzoefu nao mbaya saana tofauti na blacks alafu wa kienyeji ni wasafi na wanamashimo mnato
 
Kawaida sana kwa mtu ambaye ushachakata papuchi za kutosha, kwa sasa ume mature, unakula pale unahisi njaa, itakusaidia mambo mengi sana kimwili, kiakili, kiroho na kiuchumi
 
Mwanaume asipo to-mba muda mrefu shahawa zinahamia mku-nduni, Sasa atakuwa anatamani kuf-irwa.

hiyo sio Hali ya kawaida mkuu kimbia hospitali upate dawa utaanza kushughulikiwa shauri yako.
 
Nawee una tatizo hilo?
Sasa we mtaalamu si unajua mtu anaweza akawa haumwi akaenda hospital kucheki tu afya baada ya vipimo wakamwambia anaumwa?

Ndiyo sababu nikakuomba umwage hapa nondo tujitathmini.

Vinginevyo, unipe muongozo wa kukuona
 
Habari zenyu wataalam,

Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa.

Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo nimekutana na viji mambo mambo ya hovyo hovyo pamoja ya hayo nimechukulia ni tofauti za kimaumbile na makuzi.

Nimepata changamoto za kiafya ikiwa ni UTi na infection zingine za bacteria wanaombukizwa kwa njia za kujamiiana, kwakua hua na pima HIV pekee kujiridhisha na kuacha kupima STDs.

Sasa kinachonitokea sasa hivi nikutokusikia radha ya tendo la ndoa kiasi ya kwamba nimeacha kuomba tendo la ndoa kwa wanawake zangu mpaka wao watakapo force saana.

Nnapoelekea sioni faida ya kua na wanawake wala kufanya tendo la ndoa zaidi ya kukuaa single labda kujichua kama nikizidiwa saana. Hivyo naona ni jambo la hatari kwa mustakabali wa baadae,

Hivyo naomba msaada wenu tatizo ni nini na ni nini tiba yake.

Natanguliza shukrani🙏
Just fanya mambo mengine, usiumize kichwa, zikikuhitaji zitakutafuta zenyewe just deal na malengo yako.
 
Back
Top Bottom