Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

hakika,
huo ni uthibitisho kua tayari umeshakua mtu mzima sasa, vichocheo na ashiki za hovyo hovyo za kimwili vilivyokua vinanakuchochea kuwaza mademu, nyeto na tendo la ndoa vimeshuka chini....

viko standard sasa, hata ukiwa unatongoza mguu wa tatu hauna haja kusimama tofaut na zamani, ukianza kuzungumzia mbususu tu network mnara uko 5G, mpaka unaudhibiti kwa kuufunya kupitia mfuko wa suruali, dah aise!🐒

sasa tumia hiyo kukosa hamu na ladha ya mbususu, kama fursa ya kunconcentrate kwenye kazi na mambo yako muhimu katika kujitafuta kimaisha 🐒

ni miongoni mwa hali za mwili wa mwanadamu hasa mtu mzima kujitosheleza ingawa akili bado inakusukuma na kukulazimisha utafute mbususu 🐒
 
Kama umeoa basi nadhani mke wako ni mchafu sio mstaarabu,mna ugomvi na mke wako wa mara Kwa mara,una mambo ndoto nyingi za kukamilisha lakini unashindwa kwasababu Haina uwezo,maisha yako yaweza kuwa ni mazuri lakini unamiss baadhi ya vitu unavyovihitaji,Haujiamini. Hakikisha usiwe na mpenzi mmoja,usinunue wanawake wanaojiuza ila ukiweza chukua sana mademu wabichi ambao nyeti zao zinabana sana uingie Kwa kusugua Hadi uhisi msuguano upo,fanya mara Kwa mara na uache punyeto. Ukipuuzia hii Hali kadri mda unavoenda utachanganyikiwa
 
Naona umenena kile kilichokua kimejificha ndani angu maana nilikua nahisi pengine ndio utuuzima huu... nashkuru saana
 
Naona umenena kile kilichokua kimejificha ndani angu maana nilikua nahisi pengine ndio utuuzima huu... nashkuru saana
na usiogope wala kubabaika lahasha...

kama ni suala la afya check tu kwajili ya kujihakikishia kwamba uko fit na kujiimarisha..

hamu, ashiki na ladha ya tendo itakuja tu automatic pale ambapo vichocheo vya mwili vilivyoshuka, vitakapojiimarisha tena baada ya kuupumzisha mwili na akili kuhusu mbususu, na kuanza tena kukuchochea kuanza kusaka mbususu kitaa , ila sasa itakua bila mchecheto kabisaaaa 🐒
 
Bahati mbaya sina mke ila katika swala la mademu wengi niliyonao ni mashangazi ki umri na maumbo, pia nimejaribu kwa wenye 20's bado naona hali iyo iyo??

Na kuhusiana na mazingira ya eneo husika kweli nayakuaga mengine yana changamoto
 
Nilitaka kuandika the same, kwakweli jamaa ameshakuwa mtu wa majukumu,
 
Mimi nadhani kuishiwa hamu(sio kukosa nguvu) inatokea kwa yoyote tu na sababu ni nyingi. Wakati mwingine umri nao unchangia huku sababu za kiuchumi pia zikiongeza tatizo.

Au labda nimwite Evelyn Salt yeye aseme alivyokuwa 20s na sasa (huenda?) 30s hali iko vile vile?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…