Agnes Madaa
Member
- Aug 29, 2023
- 93
- 170
- Thread starter
-
- #141
Ooh! Hayo matunda nayauza hivyo hivyo yakiwa raw, au natakiwa kuyakata kata ili niipate hiyo elfu saba?Tafuta beseni nenda buguruni nunua matunda ya elf kumi faida unaweza kupata kuanzia 7000 au uza maji ya kandoro..utanishukuru
Mungu hapendiNitumie picha Yako inbox nikuone unaweza pata fursa ya huba kwa hiyo ela Yako ukawekeza hapa kwangu kwa mahaba niue niteketeze
Wateja ntapata kweli? Ni wazo zuri lakini nawazia wateja. Binadamu wa siku hizi kupima uzito ni mpaka wapewe ushauri na daktarikanunue mzani unauzwa 30,000 ingia mtaani uwe unapima watu uzito kwa siku huwezi kosa 10k uzito utakuwa unapima kwa sh 200
Ngoja nilifikirie hili wazo kwa umakini. Kwa kuwa umesema juu ya uwepo wa wateja kutoka moyoni, nadhani Mungu atasaidiaChupi chuo hutouza sana labda uje maeneo ya stendi kama apa mbezi mwisho nilipo mimi
Aweke hapa 43AFC6 hiyo 30000 Sporty bet .. odds 2.60 atapata 70,000!Amuone JITU BANDIA
Biashara ya chakula ina risk kubwa hasa mzigo usipoisha.. Kwa mtaji wake inabidi afanye biashara yenye uwekezaji mdogo na minimum riskKuuza vitafunio, kuuza uji, kuuza matunda, kuuza visheti, kutembeza chumvi za kwenye parketi mbona zipo nyingi mkuu kwa mtaji wake alafu ni mwanamke hizi biashara zinamfit sana
Ni fursa inayodharauliwa na wengi lakini yenye faida kubwaEeh chupi za warembo wa chuo buku
Mzee unajitahidi sana kuzuia tamaa, Mimi tamaa ndio huwa inaniponzaHuu mwezi nataka nifunge hesabu na 10 mil, nishafikisha 7.4 mil game za weekend nishaweka Mapema nasubiri matokeo.
sure..hata mimi conclusion yake ilinistaajabisha🙌Nilipoanza kusoma hiki kifungu, moyoni nilijiambia naweza kukusaidia kuongeza mtaji...
Conclusion yako ikaniondolea hiyo huruma ya mwanzo...
Anyway kila la kheri, Mungu akusaidie ufanikiwe...
Zinarudi baada ya international break
Kuna mtu nafanya naye kazi ofisi moja kwa sasa, aliniambia mama yao aliweza kuwalea kwa biashara ya mahindi ya kuchemsha.Hello JF Members,
I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi
Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa ajili ya masuala ya baadae
Sihitaji kuajiliwa, maake naondoka hivyo kwenye nyumba ya watu nilipokuwa naishi as house girl, watu hawana shukhrani jamani
Mwenye wazo lolote lile ambalo limemsaidia kuendesha maisha, ama ameona limemsaidia somebody ku run his/her own life anipatie basi. Hata kama ni idea ya kiume, I'm ready
I'm waiting...
B… ngoja na mimi nijitafute, kumbe nachezea fursa ya mtaalamu na mshauri wa biashara ninae hapahapa?Kuna mtu nafanya naye kazi ofisi moja kwa sasa, aliniambia mama yao aliweza kuwalea kwa biashara ya mahindi ya kuchemsha.
Kwa maana ya kwamba amefika hapo alipo kwa mchango mkubwa wa biashara hiyo. Hivyo, kwa mtaji wako nadhani biashara hii inakufaa.
Ova
Mungu anakuonaIngekuwa ni mwanaume anaomba ushauri huu angepewa kila aina ya kejeli na matusi..Ila kwa sababu mwanaume ni dhaifu kwa mwanamke, wanaume wengi wanatoa ushauri kwenye hili ili hali hawawazi kuhusu lililoulizwa ila wanatega ili kumpata huyu binti maana ashaonesha udhaifu tayari kujitangaza hadharani kabisa kwamba anahitaji mwanaume in indirect way..Wanaume wenzangu tuweni makini kwa hili..Hii ni biashara kabisa na yawezekana huyu akawa tapeli pia...pia uandishi wake unatia ukakasi ni kama mwanaume huyu kabisa 100%.
Siko hivyo mimi, na ndio maana nimeamua kuacha hata kazi za ndaniHivi mnavyowapigaga madanga sijui "laki for one night" unaweza kuona kwa jinsi gani hilo danga ulivyoliumiza kama unaona 30,000 ni hela ya mtaji
Tamaa haiepukiki hata mm ninayo ila ninachofanya mikeka ya tamaa naweka timu za mwezi mzima au wiki mbili hadi tatu then wakati naisubiri naendelea kutembea na odds mbili mbili tu huku nikichungulia cashout offer ikiwa nzuri mkeka wa tamaa na cashout na kuplace mwingine, hii hapa ni mikeka ya tamaa inayoenda hadi mwezi ujao but timu zangu ni zilezile.Mzee unajitahidi sana kuzuia tamaa, Mimi tamaa ndio huwa inaniponza
Odds 2 kwangu sio tatizo, tatizo ni tamaa yani hiki kitu kimenikaa kama jini vile.
Naweza nkaplan natembea na odds 2 nkishuka sana ni odds 1.56 na nkaenda vizuri
Lakini mwisho wa siku tamaa inanirudisha nyuma naongeza odds nakula za uso, Naishia kupanick ndio nakua nmejiroga zaidi..Wewe moyo unao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "bei elekezi"[emoji2] Kuna jukwaa la biashara!
Nashanga watu wanashindwa kufungua code nyepesi hv, yaani bei tajwa tayari!
Uza mahindi ya kuchoma inatosha iyo buda unalipa kodi par day katika eneo lako ukubaliane nae ivoHello JF Members,
I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi
Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa ajili ya masuala ya baadae
Sihitaji kuajiliwa, maake naondoka hivyo kwenye nyumba ya watu nilipokuwa naishi as house girl, watu hawana shukhrani jamani
Mwenye wazo lolote lile ambalo limemsaidia kuendesha maisha, ama ameona limemsaidia somebody ku run his/her own life anipatie basi. Hata kama ni idea ya kiume, I'm ready
I'm waiting...