Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

jiamini jichanganye na waongeaji na wewe uwe mchangiaji.
kama ni mpandaji wa daladala ukipanda kaa siti ya kwenye injini kwa dereva ile inayotizama nyuma kaa watizame abiria ukiwaangalia na kutafakari usimwogope mtu akikuangalia kwa kustuka tabasamu ndio silaha.
 

Ni suala la kijenetiki au huenda ni tabia tu uliyojizoesha...

Kama no tabia basi waweza acha, ila kama ni suala la kijenetiki basi hakuna namna...
 
Dar hamna izo daladala siku hizi 😁😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu mna ujinga mwingi
 
Una dem kweli Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…