Msaada: Nina aibu kupita kiasi, nifanyeje kuondokana na hali hii?

Kuna jambo hamjafunguka vizuri..
Mnaona aibu juu ya nini hasa? Aibu kwa mademu au kwa kila mtu? Au aibu ya kutongoza?

Au mnachanganya ukimya na aibu?
Maana kuna watu kwa asili ni wakimya tu, hawawezi kuongea ongea
Watu wote.

Ingekua ni asili tungependa
 
Mkiambiwa mfanye yoga mnabisha,,yoga inasaidia ku expose emotions zote zilizo jificha ambazo you were not aware of them before.

Means they were not in your concious mind level,,but in your unconscious mind,,
I’m following you from now!
 
Mnajionea aibu mpaka nyie wenyewe?....
 
Mdogo angu,

Tafuta hela..tafuta hela...usije sema sijakwambia ohooo....

Fedha huleta kujiamini

Ukiwa na pesa unatembea na mamlaka..

Money, Power , respect

Ukiwa hauna pesa utakua mnyonge mnyonge with no confidence..

Ukiwa na pesa akili lazima itakate akili ikitakata mwili lazima unawiri..

Money talk wazungu wanasema mdogo angu mengineo Ni product ya moneyπŸ’°
 
Embuvanza kumtusi kila mtu humu tukuporomoshee matusi tuone utahimiki
Mwenzako pia hapa ika mimi najichanganyaga kidogo mtu akinfanya mambo ya hovyo ndo najikata kabisa
Ila kwenye kudai haki yangu ndo changamoto kwa sababu sipendu kulumbana na watu
 
Embuvanza kumtusi kila mtu humu tukuporomoshee matusi tuone utahimiki
Mwenzako pia hapa ika mimi najichanganyaga kidogo mtu akinfanya mambo ya hovyo ndo najikata kabisa
Ila kwenye kudai haki yangu ndo changamoto kwa sababu sipendu kulumbana na watu
Brother angu katoka kunisema kua eti Mimi Ni mpole Kama YESU

Mm Ni mpole Sanaa hata kwa kuniangalia in your first sight pia Ni mstaarabu Sanaa..

Huwa sipend kujiweka kimbelembele Wala kua mwongeaji kwenye watu wengi.. hata shuleni na vyuoni nikiwa nasoma Kuna mitiani migumu Mara kadhaa niliwai kuongoza ndio watu wakaanza kuulizana na ku pay attention...

Aibu,upole, uoga, unyenyekevu, ukimya wangu upogo tu Ila huwa Nina confidence balaa

Ntaendelea kuweka madini kwa kadri inavyo faa 😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…