Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Tafuna korosho na maziwa mgando glass moja kila siku bila kusahau tende za asali kwa wiki ukipata mara mbili sio mbaya ,jiunge na no fap challenge kwa mda wa miezi sita na mazoezi mepesi ni muhimu kwa afya zaidi.
 
Yaani huna mwanamke ushaanza kulalamika huna nguvu za Kiume ni sawa na mwanamke hana mwanamme wa kumnyandua alalamike ni mgumba.

Ww ushaanza kuathirika kisaikolojia na ukiendekeza kuwaza hivyo utakuwa hanithi kweli.
 
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.

Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.

Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
Tatizo lako lina muda gani,?
 
Kama hukuzaliwa na hilo tatizo basi jua hiyo ni changamoto tu. Madhara ya nyeto ni kwenye akili yako. Inaharibu sana saikolojia. Kwa umri wako tiba ni kuamua tu kuacha nyeto. Fanya mazoezi na kula ushibe. Jipe muda hata zaidi ya mwezi bila nyeto wala sex utakuwa sawa. Huo umri bado sana. Ukiona tatizo haliishi wala kupungua nenda hospitali. Huna tatizo kubwa.
 
Seriuosly!

Nunua vitu vifuatavyo:

1. Asali lita 1

2. Kitunguu swaumu 1

3. Kitungu maji 1

4. Tangawizi size ya dole gumba

5. Unga wa karafuu vijiko 3 vya chakula

6. Unga wa mdalasini vijiko 3 vya kula


Vitwange na changanya na asali.

Weka kwenye bakuli.

Tumia kijiko cha chai kimoja mara tatu kwa siku, yaani asubuhi kabla hujala, mchana na jioni kabla hujalala.

Kama unaona kero ya kunukia vitunguu swaumu, unaweza ukawa unakunywa usiku tu kabla ya kulala.

Pia usile vitu vya sukari nyingi, mafuta mengi, bali tumia sana karanga mbogamboga na vingine vya mizizi na asili.

Utapiga mashine sana yaani!
 
Seriuosly!

Nunua vitu vifuatavyo:

1. Asali lita 1

2. Kitunguu swaumu 1

3. Kitungu maji 1

4. Tangawizi size ya dole gumba

5. Unga wa karafuu vijiko 3 vya chakula

6. Unga wa mdalasini vijiko 3 vya kula


Vitwange na changanya na asali.

Weka kwenye bakuli.

Tumia kijiko cha chai kimoja mara tatu kwa siku, yaani asubuhi kabla hujala, mchana na jioni kabla hujalala.

Kama unaona kero ya kunukia vitunguu swaumu, unaweza ukawa unakunywa usiku tu kabla ya kulala.

Pia usile vitu vya sukari nyingi, mafuta mengi, bali tumia sana karanga mbogamboga na vingine vya mizizi na asili.

Utapiga mashine sana yaani!
Ahsante kesho nanunua hivi vitu naanza dozi kaka, Ahsante sana ubarikiwe sana
 
Katika kipindi hiki usitumie dawa wala kichocheo chochote Cha ham ya mapenzi acha mwili u regain nguvu zake wenyewe maana Rika lako linaruhusu mwili kujitibu
Vipi hivi vitu vya asili navoambiwa hapa nikitumia havitaleta shida?
 
Back
Top Bottom