Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
🤣🤣🤣 umenikumbusha kuna mwanangu aliwahi niambia akiwa na madeni mengi bao halitokiPunguza kukopa kopa, sawa ukimaliza kulipa madeni anza mazoezi hakikisha unatoka jasho jingi kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 umenikumbusha kuna mwanangu aliwahi niambia akiwa na madeni mengi bao halitokiPunguza kukopa kopa, sawa ukimaliza kulipa madeni anza mazoezi hakikisha unatoka jasho jingi kila siku
Kama ni dar basiDar es Salaam
😳Uko wapi....
Kuna vitu vinakwaza sana mtu yupo serious anahitaji msaada mtu anafanya dhihakawapumbavu kama hao usiwe unawajibu
Aiseermimi msaada wangu ni kua demu wako na nisikutangaze😂😂ayo mengine peleka kwa ma herbalist 🙌🏾🙌🏾
😂😂Aiseer
Tatizo lako lina muda gani,?Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.
Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu tafadhali.
Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
Katika kipindi hiki usitumie dawa wala kichocheo chochote Cha ham ya mapenzi acha mwili u regain nguvu zake wenyewe maana Rika lako linaruhusu mwili kujitibuNitafanya kaka, ahsante sana
Ahsante kesho nanunua hivi vitu naanza dozi kaka, Ahsante sana ubarikiwe sanaSeriuosly!
Nunua vitu vifuatavyo:
1. Asali lita 1
2. Kitunguu swaumu 1
3. Kitungu maji 1
4. Tangawizi size ya dole gumba
5. Unga wa karafuu vijiko 3 vya chakula
6. Unga wa mdalasini vijiko 3 vya kula
Vitwange na changanya na asali.
Weka kwenye bakuli.
Tumia kijiko cha chai kimoja mara tatu kwa siku, yaani asubuhi kabla hujala, mchana na jioni kabla hujalala.
Kama unaona kero ya kunukia vitunguu swaumu, unaweza ukawa unakunywa usiku tu kabla ya kulala.
Pia usile vitu vya sukari nyingi, mafuta mengi, bali tumia sana karanga mbogamboga na vingine vya mizizi na asili.
Utapiga mashine sana yaani!
PoaAhsante kesho nanunua hivi vitu naanza dozi kaka, Ahsante sana ubarikiwe sana
Tabia mbaya tu