The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
We ni falaWazee kwema
Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? π )
Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je ni wapi ambapo naweza kuwekeza na mchanganuo wake upoje?
Nawasilisha
Hii ipoje mkuu? Nahisi hii ndo itanifaa zaidi kwa ninachokiwaza na ulichokiandika vinaendana kabisa.... Ningependa kuifahamu zaidiWeka UTT AMIS mfuko wa Liquid fund kama kweli unayo hiyo million 500, ambapo utapata faida ya 1% kila mwezi sawa na million 5 kila mwezi na kwa mwaka utapata million 60. Hapa utakuwa huna haja ya kufanya kazi utakuwa naamka asubuhi ufanye mazoezi tu. Lakini hii million 5 unaweza kufanya vitu vingine vidogo vidogo ili vikuweke akili busy
Ni kweli.Ila mimi kwa uzoefu wangu na nature ya Hela na namna alivyoipata nafikiri akienda Benki akiwatwishwa huo mzigo akapata RIBA ya 13% bila Brokers fees,bila paper works,bila Contracts JUST Deposit your money and let the bank worry about IT kisha sasa wakati anaendelea kula milioni 5 yake kila mwezi anafikiria namna sasa ya kutengeneza UTAJIRI.Milioni 500 ni Pesa ya Kutosha kabisa kutengeneza Generationa Wealth bila Shida kabisa.Akitumia brokers anaweza kuzipata kirahisi, na anaweza kununua za nchi zote za EAC akikosa za TZ, rate na taxes ziko sawa karibu zote
UTT ni UNIT TRUST OF TANZANIA.Huu ni mfuko wa uwekezaji wa Pamoja ambao unafanana na mifuko kama Vanguard wa huko USA.Katika Mfumo wa vipande Mwekezajia ananunua vipande ambavyo vinaweza kupanda au kushuka BEI kisha UTT wanawekeza kwenye BONDS,FIXED DEPOSIT,SOKO LA HISA etc.Issue ni kwamba hayo malipo ya kila mwezi kwenye UTT sio fixed inategemea na faida.Hii ni nini na ipoje?
Huu mwandiko na hili swali haviendani na mtu mwenye milioni 500. Na kama unayo kweli usipokuwa makini wewe ni njia hiyo 500M kuna sehemu inaenda.Wazee kwema
Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? π )
Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je ni wapi ambapo naweza kuwekeza na mchanganuo wake upoje?
Nawasilisha
Unakuta hauna mbele wala nyuma halafu unaleta pomposityWazee kwema
Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? π )
Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je ni wapi ambapo naweza kuwekeza na mchanganuo wake upoje?
Nawasilisha
Hapa naona kuna madini zaidi...Ni kweli.Ila mimi kwa uzoefu wangu na nature ya Hela na namna alivyoipata nafikiri akienda Benki akiwatwishwa huo mzigo akapata RIBA ya 13% bila Brokers fees,bila paper works,bila Contracts JUST Deposit your money and let the bank worry about IT kisha sasa wakati anaendelea kula milioni 5 yake kila mwezi anafikiria namna sasa ya kutengeneza UTAJIRI.Milioni 500 ni Pesa ya Kutosha kabisa kutengeneza Generationa Wealth bila Shida kabisa.
yaani upate 500m usijue labda kama umeokota njiani. Pesa hakai na mjinga hata siku moja hakuna mtu mjinga anayeweza kupata hata 20M ya pamojaSio wote ni wataalamu katika maswala ya kuwekeza, ukiona hivyo jua na mm nimeumiza kichwa na ndo maana nikaomba ushauri.
We kiazi kweli... Kuna mtu huwa anaenda migodini akiwa ana uhakika kuwa anaenda kukutana na bilioni moja? Wengi wetu kule tunajitafuta na ndo maana nikasema zali liliniangukia.Kijana fanya kazi acha kuota ndoto za mchana. Umesema zali la mentali baadae kwenye comment ukasema umepata machimboni..!! Are you an idiot or physcho?