Msaada: Nina tatizo la Thyroids, nguvu za kiume zimepotea kabisa sina hamu ya kufanya mapenzi

Nguvu zimepungua zaid baada yakiwa na hili tatizo la THYROID niligundulika nna hyperthyroid baada yakuanza kutumia carbimazole miezi mitatu kurudi pima hospital hormones zingne zikarud normal zinnge zikawa high kwa nkaambiwa ungonjwa umerud to HYPOTHYROID due drugs Sasa hii thyroid ndo imeongeza shida ya nguvu zakiume
 
Mkuu ntaifanya hivi
 
Ndio maisha kila Mtu anakuwa nashida zake katika maisha na anadeal Nazo mwombe Mungu yupo na atakusaidia
 

Attachments

  • Screenshot_20230520-212743.png
    64 KB · Views: 11
  • Screenshot_20230520-212747.png
    54.3 KB · Views: 12
One of the side effects za hyperthyroidism meds ni kupelekea kwenye hypothyroidism.na ndo kilichofanyika hapa.kwahiyo inabidi kuwa makini sana na hizi dose.ila utapona.magonjwa huwa yanapona taratibu sana.
Sasa ukirud to hypothyroid inakuaje
 
Dah pole Sana kiongozi....kukosa nguvu za kiume kusikie tu kwa jiran..ukikutana nayo utajuta kuzaliwa...lazima uchanganyikiwe...
 
Wao walikuaje na uvimbe kabisa au uvimbe ulikua Bado .naje wao walikua na hormones kuzalishwa nyingi au zilikua zinazalishwa kidgo
Levothyroxine inatumika kama uzalishaji wa hormone ni mdogo sana(underreactive thyroid)
 
Mcheck huyu dada alinisaidia na dawa zake Sasa ninamiaka 5 naendelea vizuri kabisa ninaafya 0692948695
 
Mtafute dkt Ben soy..0699254400. Nilikua na tatizo hilo na mshukuru Mungu kwa dawa zake nimesahau sasa.
 
Levothyroxine inatumika kama uzalishaji wa hormone ni mdogo sana(underreactive thyroid)
Mkuu me naomba msaada, nlienda kupima nikaambiwa t3 iko juu sana, walichek ultrasound ila wakasema tezi ziko normal size, ingawa mwenyewe naona kama upande mmoja umevimba, msaada nitumie dawa gani maana walinidirect niende kwa specialist wa hzo vtu ila bado uchumi haujakaa sawa [emoji17].
 
Mkuu kama t3 Iko juu hiyo ni overeactive na mim nilipimwa miez Saba iliyopita nkakutwa na t3 Iko juu nkaambiwa ni overeactive ngoja waje wataalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…