Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

Duh
 
@MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hujawai kumuona kwenye vita ya kobazi, utacheka ufe
 
Asante ndugu kwa compliment.. Napokea kwa moyo wa shukraniπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
On serious note huwa namfananisha Ma Mshuza na huyu mama hapa! Ila kwa vyovyote iwavyo huyu ni mtu wa Tanga
 
Labda waliojikita kwenye michango humu ya kilimo tuu!Hawa wa Siasa tutatekana,!
Sasa huyo anayejikita kwenye kilimo ndiyo huyo huyo mwanasiasa.

Nikupe hii mkuu,

Hapa jukwaani member mmoja ana IDs mbili Hadi tatu,tena walivyo makini si rahisi kuwajua,akiwa jukwaa la siasa ana I'd yake akiwa jukwaa la sports ana I'd yake.

Vile vile kuna watu smart humu ila Wana I'd za kujifanya hamnazo.

Halafu wapo ambao husoma na kufuatilia posts zenu wakiwa hawacomment wala kulike chochote ila akigusws na kitu anatafuta I'd ya kike anakuja jukwaani huku akijifanya mgeni humu. Mkuu usiruhusu kuonana na mtu yeyote na kama ushafanya hivyo Acha mara moja.

Kule X zamani twitter kuna vijana wanne nawajua mwanzo mwisho wanajifanya wapo upinzani,wanaitukana serikali na kila kukicha na watanzania tulivyo akili ndogo tumeungana nao bila kujua.

Be careful mwanakwetu
 
Asante ndugu kwa compliment.. Napokea kwa moyo wa shukraniπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
On serious note huwa namfananisha Ma Mshuza na huyu mama hapa! Ila kwa vyovyote iwavyo huyu ni mtu wa TangaView attachment 3375886
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ Alooooo ukiwa na m 5 hivii ya kuchezea unamuaga mkeo kama unasafiri kisha unatafuta affordable lodge,unalibidua wiki nzima hamu ikuishe
 
Kalpana Unamwona sana. Eti yeye ndio KISUGU shabiki matata wa WEKUNDU wa Msimbazi.
 
Mwongeze na Malaria 2.
 
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ Alooooo ukiwa na m 5 hivii ya kuchezea unamuaga mkeo kama unasafiri kisha unatafuta affordable lodge,unalibidua wiki nzima hamu ikuishe
HahahahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe Sheikh Kipozeo ana wadau
 
Naomba nauli ili nije niwapige picha za tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…