Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

Duh pole sana mi nilipata watoto kwa kutumia kalenda sema hizo siku nakuwa moto kuzidi kiwango ivo niliamua kutumia uzazi wa mpango coz izo siku huwa nataka sana dudu balaaa
 
hahaha ht mie nna twins wa nje sema wamekuwa sasa 7,5yrs ! ila wanakimo sawa !inachosha hatar !nipo makini !mie kaenda siwez tumia kwanza mume mlev hiyo kalenda unamletea nan !lol !najiwahi na 72hrs zipo za kutosha !
Hao mapacha Niko nao best mmoja 4 mwingine 3 yaani ni full majanga Nilipotoka hapo nilijibandikia kitanzi maana unajikuta umejaza kijiji kbl ya 30 maisha yenyewe haya full stress
 
hahaha ht mie nna twins wa nje sema wamekuwa sasa 7,5yrs ! ila wanakimo sawa !inachosha hatar !nipo makini !mie kaenda siwez tumia kwanza mume mlev hiyo kalenda unamletea nan !lol !najiwahi na 72hrs zipo za kutosha !
PEP? Hivi vidonge havina shida?

Na ni uhakika ukimeza be4 72 hrs after sex hupati kibendi?
 
72hrs wamaanisha p2, ni kwa emergency use only, do not practise it in regular basis better use njia nyinginezo nasikia madhara yake ni makubwa endapo zitatumiwa mara kwa mara.
Je ukiwa unatumia mara moja kwa miezi minne nayo inaleta shidaa?
 
Fatilia MP yake kwa miez 6 mfululizo tafta wastani mfno ukipata siku 28 total, siku ya 14 ni ya hatari ili kujiwekea uhakika sogesa siki mbili mbele na mbili nyuma
 
Mkuu nakufuatilia sana, kuna kitu umenilenga haaa haaaaa....
 
Yaani hizi siku nataka sana ishu mkuu nikikosa huwa nahisi kupandwa ukichaa seriously ni balaa
Shost hujakeketwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…