Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

hahaha hakuna kitu ambacho nilishashindwa km hayo makitu jaman ! mie hazibadiliki hata kidg ila sasa nahesabu fresh tu lakini unajikuta next month huon mp !naudhika sana jaman !sitak kabs kusikia hizi kalenda ! wanangu wote nilienda na kalaenda lakini wapiiii! mie nahisg siku zote kwangu ni danger tu mxiew
Duh pole sana mi nilipata watoto kwa kutumia kalenda sema hizo siku nakuwa moto kuzidi kiwango ivo niliamua kutumia uzazi wa mpango coz izo siku huwa nataka sana dudu balaaa
 
hahaha ht mie nna twins wa nje sema wamekuwa sasa 7,5yrs ! ila wanakimo sawa !inachosha hatar !nipo makini !mie kaenda siwez tumia kwanza mume mlev hiyo kalenda unamletea nan !lol !najiwahi na 72hrs zipo za kutosha !
Hao mapacha Niko nao best mmoja 4 mwingine 3 yaani ni full majanga Nilipotoka hapo nilijibandikia kitanzi maana unajikuta umejaza kijiji kbl ya 30 maisha yenyewe haya full stress
 
hahaha ht mie nna twins wa nje sema wamekuwa sasa 7,5yrs ! ila wanakimo sawa !inachosha hatar !nipo makini !mie kaenda siwez tumia kwanza mume mlev hiyo kalenda unamletea nan !lol !najiwahi na 72hrs zipo za kutosha !
PEP? Hivi vidonge havina shida?

Na ni uhakika ukimeza be4 72 hrs after sex hupati kibendi?
 
72hrs wamaanisha p2, ni kwa emergency use only, do not practise it in regular basis better use njia nyinginezo nasikia madhara yake ni makubwa endapo zitatumiwa mara kwa mara.
Je ukiwa unatumia mara moja kwa miezi minne nayo inaleta shidaa?
 
Fatilia MP yake kwa miez 6 mfululizo tafta wastani mfno ukipata siku 28 total, siku ya 14 ni ya hatari ili kujiwekea uhakika sogesa siki mbili mbele na mbili nyuma
 
Hahaa, iko hivi mkuu,,,,, mzunguko ule wa kawaida huwa ni siku 28. Mzunguko huu ni rahisi kutabirika siku zake za hatari kwa maana ya kuwa unajua ktkt yake (siku ya 14) ni ya hatari au ya kupachika mimba.

Tofauti na hapo ujue hyo ni randomly menstrual cycle. Unajuaje kuwa ni random? Fanya uchunguzi kwa miezi isiyopungua mitatu. Kama ambavyo umetoa mfano wa wife wako ambao mzunguko wake ulikuwa 20/10/10/8/18 ukianzia mwezi wa 5-9. Kujua km ni random mzunguko unakuwa haufanani kabisa yaani unaweza ukawa labda 10/2/20. Hapo ujue huo ni random menstrual cycle.

Random menstrual cycle maana yake ni kuwa either ovulation haitokei kabisa au inatokea lakini kwa bahati sana. Hii mara nyingi huwa ni kiashiria cha kuwa na tatizo fulani kiafya (ingawa pia kuna visababishi vingine nitavitaja mwishoni). Hivyo ukiona mwanamke ana mzunguko wa aina hii ni vyema kwenda hospital kupata ushauri wa daktari na kujua km ni tatizo la kiafya ama la.

Kugundua siku za hatari kwa mwanamke ambaye ana mzunguko usio wa kawaida huwa ni ngumu kwasababu huwa haitabiriki. Kugundua kama mwanamke yuko kwenye siku za hatari labda afanye uchunguzi wa viashiria vya yai kuwa tayari limetoka kwenye mirija ya fallopia (ovulation).

Viashiria vyenyewe ni kama:-
*Kuangalia ute ute unaotoka kwenye K
kama ni mzito na una rangi ya maziwa maziwa hii huashiria siku ya hatari.

*Joto la mwili kuzidi sana

*Ongezeko la hamu ya kufanya mapenzi n. k

Hivi ni baadhi ya viashiria tu kwahyo akiona dalili hizi ajue kuwa yupo kwenye siku za hatari.

Baadhi ya sababu zinazopelekea kubadilika kwa siku za hedhi ni kama vile :-
*Kuwa na msongo wa mawazo/Stress

*Kuugua

*Kubadilisha mazingira au vyakula au ratiba ya kula

*Matumizi ya dawa za Uzazi wa mpango au Uvutaji wa sigara n. k

*Kufanya mazoezi kwa wingi kupita kiasi

n. k
Mkuu nakufuatilia sana, kuna kitu umenilenga haaa haaaaa....
 
Yaani hizi siku nataka sana ishu mkuu nikikosa huwa nahisi kupandwa ukichaa seriously ni balaa
kwa hiyo unamganda shem mbaya??

1b7edb0642cc76f56c457e0be3d12400.jpg
 
Back
Top Bottom