Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,139
- 4,640
Mtihani siyo mkuu?Mkuu mbona mtihani huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtihani siyo mkuu?Mkuu mbona mtihani huu
Duh pole sana mi nilipata watoto kwa kutumia kalenda sema hizo siku nakuwa moto kuzidi kiwango ivo niliamua kutumia uzazi wa mpango coz izo siku huwa nataka sana dudu balaaahahaha hakuna kitu ambacho nilishashindwa km hayo makitu jaman ! mie hazibadiliki hata kidg ila sasa nahesabu fresh tu lakini unajikuta next month huon mp !naudhika sana jaman !sitak kabs kusikia hizi kalenda ! wanangu wote nilienda na kalaenda lakini wapiiii! mie nahisg siku zote kwangu ni danger tu mxiew
Hao mapacha Niko nao best mmoja 4 mwingine 3 yaani ni full majanga Nilipotoka hapo nilijibandikia kitanzi maana unajikuta umejaza kijiji kbl ya 30 maisha yenyewe haya full stresshahaha ht mie nna twins wa nje sema wamekuwa sasa 7,5yrs ! ila wanakimo sawa !inachosha hatar !nipo makini !mie kaenda siwez tumia kwanza mume mlev hiyo kalenda unamletea nan !lol !najiwahi na 72hrs zipo za kutosha !
Mie three to four weeks, huku unavuja damu, maziwa na mtoto anakojoa ni full udobi na kuchoka aisee uzazi sitaki hata kuusikiainategemeana na ntu na ntu wengine 6mths ,wengine 2yrs wakiachisha wanaanza period !mie mwezi mmoja tu jaman !kha
Duh pole sana mi nilipata watoto kwa kutumia kalenda sema hizo siku nakuwa moto kuzidi kiwango ivo niliamua kutumia uzazi wa mpango coz izo siku huwa nataka sana dudu balaaa
PEP? Hivi vidonge havina shida?hahaha ht mie nna twins wa nje sema wamekuwa sasa 7,5yrs ! ila wanakimo sawa !inachosha hatar !nipo makini !mie kaenda siwez tumia kwanza mume mlev hiyo kalenda unamletea nan !lol !najiwahi na 72hrs zipo za kutosha !
Je ukiwa unatumia mara moja kwa miezi minne nayo inaleta shidaa?72hrs wamaanisha p2, ni kwa emergency use only, do not practise it in regular basis better use njia nyinginezo nasikia madhara yake ni makubwa endapo zitatumiwa mara kwa mara.
P2 ndo nini?mh hv ndo p2? dah asante sana kaka !
Yaani hizi siku nataka sana ishu mkuu nikikosa huwa nahisi kupandwa ukichaa seriously ni balaa
Aisee
Mkuu nakufuatilia sana, kuna kitu umenilenga haaa haaaaa....Hahaa, iko hivi mkuu,,,,, mzunguko ule wa kawaida huwa ni siku 28. Mzunguko huu ni rahisi kutabirika siku zake za hatari kwa maana ya kuwa unajua ktkt yake (siku ya 14) ni ya hatari au ya kupachika mimba.
Tofauti na hapo ujue hyo ni randomly menstrual cycle. Unajuaje kuwa ni random? Fanya uchunguzi kwa miezi isiyopungua mitatu. Kama ambavyo umetoa mfano wa wife wako ambao mzunguko wake ulikuwa 20/10/10/8/18 ukianzia mwezi wa 5-9. Kujua km ni random mzunguko unakuwa haufanani kabisa yaani unaweza ukawa labda 10/2/20. Hapo ujue huo ni random menstrual cycle.
Random menstrual cycle maana yake ni kuwa either ovulation haitokei kabisa au inatokea lakini kwa bahati sana. Hii mara nyingi huwa ni kiashiria cha kuwa na tatizo fulani kiafya (ingawa pia kuna visababishi vingine nitavitaja mwishoni). Hivyo ukiona mwanamke ana mzunguko wa aina hii ni vyema kwenda hospital kupata ushauri wa daktari na kujua km ni tatizo la kiafya ama la.
Kugundua siku za hatari kwa mwanamke ambaye ana mzunguko usio wa kawaida huwa ni ngumu kwasababu huwa haitabiriki. Kugundua kama mwanamke yuko kwenye siku za hatari labda afanye uchunguzi wa viashiria vya yai kuwa tayari limetoka kwenye mirija ya fallopia (ovulation).
Viashiria vyenyewe ni kama:-
*Kuangalia ute ute unaotoka kwenye K
kama ni mzito na una rangi ya maziwa maziwa hii huashiria siku ya hatari.
*Joto la mwili kuzidi sana
*Ongezeko la hamu ya kufanya mapenzi n. k
Hivi ni baadhi ya viashiria tu kwahyo akiona dalili hizi ajue kuwa yupo kwenye siku za hatari.
Baadhi ya sababu zinazopelekea kubadilika kwa siku za hedhi ni kama vile :-
*Kuwa na msongo wa mawazo/Stress
*Kuugua
*Kubadilisha mazingira au vyakula au ratiba ya kula
*Matumizi ya dawa za Uzazi wa mpango au Uvutaji wa sigara n. k
*Kufanya mazoezi kwa wingi kupita kiasi
n. k
Shost hujakeketwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji85] [emoji85] [emoji85]Yaani hizi siku nataka sana ishu mkuu nikikosa huwa nahisi kupandwa ukichaa seriously ni balaa
Sijatahiriwa shost, ila hali yangu n mby hizi siku nioneeni huruma tu yaani ndo ile unasikia kichaa cha nyege basi huwa nakiona kabisaaShost hujakeketwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji85] [emoji85] [emoji85]
kwa hiyo unamganda shem mbaya??Yaani hizi siku nataka sana ishu mkuu nikikosa huwa nahisi kupandwa ukichaa seriously ni balaa
nataka nizae na wewe.....Yaani mfano hiyo ya mwezi huu kaingia tarehe 18 sasa ukihesabu siku 14 utaona siku za hatari itaangukia kwenye tarehe mbili ya mwezi ujao
Km yuko mbali ndo huwa napoteza kichwani akiwepo fresh wala sipati shida zinakamuliwakwa hiyo unamganda shem mbaya??
![]()
Jiandae mkuu matunzo laki 6 kwa wikinataka nizae na wewe.....
ahah... umekuwa beyonce mkuu.... mm nitakulipa gharama za kunizalia mtoto tu then tunaachana....Jiandae mkuu matunzo laki 6 kwa wiki
Shouger mbn umefumba vimacho!, sijakeketwaShost hujakeketwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji85] [emoji85] [emoji85]