Msaada tafadhali, napitia wakati mgumu sana

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii story nzuri ila uandishi ndio unachekesha
 
Urudi tena gerezani kwa sababu ya gharama?

Gharama gani ulimnunulia sayari?


Otherwise pesa hutafutwa


Pia red flag zilikuwepo mapema hukuzizingatia

Achaba nae

Pesa hutafutwa
 
Mkuu Ni story. Ndefu nimeacha mengine nkajua ntayakuta kwenye maswli na ufafanuzi!! Mm kuaxhwa nimekubali mbali na huo msaad nliompa pia Kuna vingi tu nimemfanyia kwa huo muda mfupi nilikutana nae,! Kibaya aliniaminisha Hadi nkamtambulisha kwa wazazi na yeye akanitambulisha kwao kumbe alikua na lake moyoni!! Sijamkosea kitu na imekua gafla sana
 
Atakutafuta uyu mwanamke na x wake wanapendana ila awaishi kugombana baada ya miez kazaa watagombana na atakurudia ww kwa kuendelea na unajimu huu nitafutie jina la mama yake uyo binti niendelea kunajimu
Hili linaweza kuwa sahihi!! Juzi na Jana nimeenda kwake sijui hata ingekuaje Ni Mungu alinusuru,
 
Kijana wachuchu wapo bwerereeeee, katika maisha jifunze kusogea mbele pale mpenzi anapokata kamba...

Kuna makosa uliyofanya, mosi, ni wewe kukubali kwenda kuishi kwa mwanamke badala ya yeye kukaa kwako...

Pili, ni pale ulipoanza kuona X wake anaanza kufanya fujo, ulipaswa umpige chini bi mkubwa kwamba huwezi kuwa naye hadi amalizane na mtu wake...
 
Jifunze kukabiliana na mabadiriko. Ni bora kuwa mpweke kuliko kuwa sehemu ambayo ustahili/ sio sahihi kwako
 
Kweli kabisa yani siku hiyo ndo ilibidi ajue kuwa analiwa
 
Yani mwanamke anaweza fanya uenjoy maisha sana lakini mwanamke huyo huyo anaweza vuruga maisha yako yote ni swala la kuSnap tu Paap.... Haya yote ni matokeo ya kumwamini na kudhani bila yeye maisha yako hayaendi

Move On mkuu
 
Tafuta hela mkuu,mzigo umekuka miezi 11 laki tano yako imeisha ,tafuta hela
 
Hili linaweza kuwa sahihi!! Juzi na Jana nimeenda kwake sijui hata ingekuaje Ni Mungu alinusuru,
Hukujifunza kwa ile kesi ya uhujumu uchumi? Naona kama unapenda sana majengo ya serikali. Unapata hasara gani ukimuacha afurahie maisha kwa msaada wako uliompatia? Ichukulie kama sadaka na furahia kuona hao wawili wakifurahi sababu yako.
 
Huwa nikisomaga coment zako mjuba huwa unatuliza akili hukurupuki
 
piga chini bro, move on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…