Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mm nkaamua kukaa kimya Ila Mara kwa mara akawa ananichokonoa kwa msg na simu akitaka tuonane, na mm nkajaa maana niwe mkweli nlijikuta nampenda Sana huyu mwanamke!! Juzi nkampigia simu hakupokea na sio kawaida yake , meseji hajibu nkasema huyu labda atakua na mwanaume ndani ! Nkaenda kwake kufika dirishani nkakuta anaongea na Yule x wake kwa simu ananisengenya na kuniongelea vibaya!! Nkamwambia fungua mlango na kweli akafungua tukiwa ndani nkamuhoji Kama anataka kuendelea na mm au anarudi kwa x wake akasema ananitaka Mimi!! Basi ukatokea ugomvi Kati yangu na yeye na asubuhi akaita watu wazima tukasuluhisha , jioni hii Nimempigia simu kapokea yule x wake Ila kaongea kistaraabu tukamaliza , baadae nlipopiga Tena akapokea mwanamke akasema bwana yangu ameenda kazini ,namsubiria aje tulale Mimi nlikua na wewe sababu ya shida tu!! Nikihesabu garama na muda ambao nimeuwekeza kwake afu Leo anakuja kunilipa jeuri nakosa Raha kabisa hapa najiuliza nimfamye Nini huyu mwanamke?? Na nitoke vipi kwenye hii Hali niliyonayo maana roho Inaumia Sana , nahisi nlikutana nae naweza kufanya tukio baya maana amenifanyia usaliti mkubwa Sana
Nawasilisha wakuu naombeni ushauri wenu
Mkuu Ni story. Ndefu nimeacha mengine nkajua ntayakuta kwenye maswli na ufafanuzi!! Mm kuaxhwa nimekubali mbali na huo msaad nliompa pia Kuna vingi tu nimemfanyia kwa huo muda mfupi nilikutana nae,! Kibaya aliniaminisha Hadi nkamtambulisha kwa wazazi na yeye akanitambulisha kwao kumbe alikua na lake moyoni!! Sijamkosea kitu na imekua gafla sanaMkuu muda uliokutana na huyo mwanamke wala sio mrefu kiasi cha kusema umevurugwa, ushaachwa hivyo achika. unasema umewekeza lakini kwenye stori ako hakuna sehemu umesema umewekeza zaidi ya kumsaidia akiwa na matatizo ambalo ni jambo jema binadamu kusaidiana.
Hili linaweza kuwa sahihi!! Juzi na Jana nimeenda kwake sijui hata ingekuaje Ni Mungu alinusuru,Atakutafuta uyu mwanamke na x wake wanapendana ila awaishi kugombana baada ya miez kazaa watagombana na atakurudia ww kwa kuendelea na unajimu huu nitafutie jina la mama yake uyo binti niendelea kunajimu
Jikaze rafikiNdicho najaribu kupambana nacho hapa !! Roho Inaumia lakini itabidi tu nijikaze
Kweli kabisa yani siku hiyo ndo ilibidi ajue kuwa analiwaSiku aliposema usije tena kwake ndio siku ambayo ulitakiwa kukata mawasiliano nae! Wrong move na umetumika vibaya kweli mzee sina la ziada zaidi ya kukupa pole sana😅
Sikuingine usimuamini mwanamke hata kidogo. Hata kama ulimkuta ametundikiwa dripu usimuamini mwanamke ever! Mwanamke akikupa mbunye piga tu ila usimuweke sana akilini.
So lawama zako ni kwamba kakupotezea muda? Ilihali ilijua kuwa tyari ni mke wa mtu je hukutegemea hayo? Hukupiga mahesabu yako vizuriNimekaa nae miezi 11
Hukujifunza kwa ile kesi ya uhujumu uchumi? Naona kama unapenda sana majengo ya serikali. Unapata hasara gani ukimuacha afurahie maisha kwa msaada wako uliompatia? Ichukulie kama sadaka na furahia kuona hao wawili wakifurahi sababu yako.Hili linaweza kuwa sahihi!! Juzi na Jana nimeenda kwake sijui hata ingekuaje Ni Mungu alinusuru,
Huwa nikisomaga coment zako mjuba huwa unatuliza akili hukurupukiSiku aliposema usije tena kwake ndio siku ambayo ulitakiwa kukata mawasiliano nae! Wrong move na umetumika vibaya kweli mzee sina la ziada zaidi ya kukupa pole sana[emoji28]
Sikuingine usimuamini mwanamke hata kidogo. Hata kama ulimkuta ametundikiwa dripu usimuamini mwanamke ever! Mwanamke akikupa mbunye piga tu ila usimuweke sana akilini.
piga chini bro, move onBasi mm nkaamua kukaa kimya Ila Mara kwa mara akawa ananichokonoa kwa msg na simu akitaka tuonane, na mm nkajaa maana niwe mkweli nlijikuta nampenda Sana huyu mwanamke!! Juzi nkampigia simu hakupokea na sio kawaida yake , meseji hajibu nkasema huyu labda atakua na mwanaume ndani ! Nkaenda kwake kufika dirishani nkakuta anaongea na Yule x wake kwa simu ananisengenya na kuniongelea vibaya!! Nkamwambia fungua mlango na kweli akafungua tukiwa ndani nkamuhoji Kama anataka kuendelea na mm au anarudi kwa x wake akasema ananitaka Mimi!! Basi ukatokea ugomvi Kati yangu na yeye na asubuhi akaita watu wazima tukasuluhisha , jioni hii Nimempigia simu kapokea yule x wake Ila kaongea kistaraabu tukamaliza , baadae nlipopiga Tena akapokea mwanamke akasema bwana yangu ameenda kazini ,namsubiria aje tulale Mimi nlikua na wewe sababu ya shida tu!! Nikihesabu garama na muda ambao nimeuwekeza kwake afu Leo anakuja kunilipa jeuri nakosa Raha kabisa hapa najiuliza nimfamye Nini huyu mwanamke?? Na nitoke vipi kwenye hii Hali niliyonayo maana roho Inaumia Sana , nahisi nlikutana nae naweza kufanya tukio baya maana amenifanyia usaliti mkubwa Sana
Nawasilisha wakuu naombeni ushauri wenu