Msaada tafadhali, napitia wakati mgumu sana

Umezaliwa nae
1[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]???.umemuoa??..kakuzalia??..amekuzaa??.hayo yote hajafanya ya nini kumng'ang'ania..hesabia umetoa sadaka....ushapoteza vingap....wanakufa watu tunasonga ndo sembuse huyo mwanamke...acha ufala...

Km vipi nenda kamuue..ukakae jela maisha kwa kuendekeza akili za chini

Amka fanya kazi ..tafuta hela mwanaume acha kulia lia....
Utasahau km ulivyosahau mengine
 
Hiyo paragraph ya Pili nimeipenda ilitakiwa nifanye hivyo Ila kwa ubwege wmg nkangangana kumbe kikao kilishapitisha uamuzi X arudi hapa nyumbani,, so far mm Nina kwangu naishi na wanafamilia tatizo la kumleta kwangu lilishindikana baaada ya kukosa mtu atakayekua anamuamgalia nyumba tukaamua tuwe tunafanya yetu pale kwake
 
Mbio zako ndio zitazo kuokoa.Achana na wake zawa tu miaka10 unadanganywa wameachana??? Tafuta mwanamke uoemabinti wako lundo.
Sio MKE wa mtu bro, huyo X Ana wake wawili nyumbani kwake hapa Ni Kama mchepuko wake japo wamekaa kwenye mahusiano kwa muda wote huo
 
Jamiiforums.... ... Mada hii Muipin

Ikawe msaada kwa Vijana hawa wanaowekeza Muda, Pesa kwa wanawake.



 
So lawama zako ni kwamba kakupotezea muda? Ilihali ilijua kuwa tyari ni mke wa mtu je hukutegemea hayo? Hukupiga mahesabu yako vizuri
Hakua MKE wa mtu!! Miezi 11 niko nae na huyo X wake alikua anajua , sema kilichotokea hata sijui Ni nn
 
Tafuta hela mkuu,mzigo umekuka miezi 11 laki tano yako imeisha ,tafuta hela
Mimi Ni mpambanaji mkuu na mizigo ninayo yenye kiwango hata kumzidi Ila huwezi amini anavyoipeleka roho yangu puta!najiuliza mbona nimekua hivi kwa Nini??
 
Hukujifunza kwa ile kesi ya uhujumu uchumi? Naona kama unapenda sana majengo ya serikali. Unapata hasara gani ukimuacha afurahie maisha kwa msaada wako uliompatia? Ichukulie kama sadaka na furahia kuona hao wawili wakifurahi sababu yako.
Sawa mkuu!! Wala mm Ile laki 5 siiwazii maana nilisaidia sio kwa matarajio ya kurudishiwa
 
Asante kwa ushauri , najua ntasahau na litapita, kinachoniumiza tumeachana bila kukosana
 
Story fupi lakini imekatwa katwa hadi kero. Me nadhani umekomeshwa maana hata kuandika hujui
 
Ndugu yangu pole sana huyo mwanamke kwanza ni team ya mjini lkn pia alikua na wewe kwasababu alikua ananufaika na wewe yani ilikuwa kula kwako kulala kwa x wake

HITIMISHO: achana hawa watu ni urithi wetu afu wapo kibao mwanangu
 
Mimi Ni mpambanaji mkuu na mizigo ninayo yenye kiwango hata kumzidi Ila huwezi amini anavyoipeleka roho yangu puta!najiuliza mbona nimekua hivi kwa Nini??
Ahaaaaa usiwaze sana mkuu futa namba yake na picha zake kwenye simu tafuta mwanamke mwingine wa kukupa kampani,binadamu tumeumbwa kusahau,hakuna mtu hajawahi kuachwa
 
Sio MKE wa mtu bro, huyo X Ana wake wawili nyumbani kwake hapa Ni Kama mchepuko wake japo wamekaa kwenye mahusiano kwa muda wote huo
Mku mwanamke hawezi kumiliki wanaume wawili mkafahamiana. Achana na huo mzigo utakutoa roho.
 
We nae hujui hapo uliwekwa kama stress releaser a.k.a kipozeo ili aweze kupambana na separation sasa amerudiwa weee wa kazi gani.
We nenda ukamfanyie baya ukose vyote..
Mtaani K zipo nyingi sana why uteseke na K moja?? Hata hapa JF zipo K za kutosha sasa Leo mtu mmoja amekukata unapoteza tena mda wako ili iweje?? Futa vumbi tafuta mona ichakate kisawa sawa....hadi stress zikipungua utakuwa sawa
 
Mnatoaga wapi ujasiri wa kuthubutu kuingia sembuse kulala nyumba ya mwanamke?
Hili Ni tatizo,
IPO siku watakutana na wanaolipia Kodi hizo nyumba afu wacharangwe mapanga[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…