Msaada tafadhali, napitia wakati mgumu sana

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sasa weww miezi 11 unalalamika Mwenzio kakaa nae miaka 10 na ukamuona anazingua kuja kuletaa balaaa.. Hakuna mafanikio ya mwanamke yasiyokuwa na Mkono wa mwanaume so usijipe umuhimu katika maisha ya huyo mwanamke kumzidi Ex wake kakuacha maana Ex wake ni bora zaidi ya wew..
 
kwanza ushukuru hujatolewa koromeo usirudie Tena upumbavu huo,wameshaishi miaka 10 hao nimume na mke tayari ,kasome Sheria yandoa kwenye katiba yenu ya tanzania
 
wakati mwingine hua viashiria vinajitokeza ila huwa tunavipuuza hivi kweli mtu mlishaachana naye halafu aseme nakunywa k_van nakuja kufanya fujo halafu uanripoti polisi mkuu no wonder karudi kwa mshkaji maana yeye ni bad boy wanvo ia wewe ni nice guy any ways yameshakukuta piga chini papuchi zipo kila kona ila umepata fundisho kuwa mtata na usi sacrifice chochote katika maisha yako kwa sababu ya mapenzi ila sexual desires kizazi hiki ni balaa...halafu badilika
 
Sawa
 
kwanza ushukuru hujatolewa koromeo usirudie Tena upumbavu huo,wameshaishi miaka 10 hao nimume na mke tayari ,kasome Sheria yandoa kwenye katiba yenu ya tanzania
Ni sawa Ila hawajaishi Ila wako kwenye mahusiano miaka hiyo!! Huyo X Ana wake zake rasmi
 
Sawa mkuu ntazingatia , eti kwa ubwege wmg toka Jana Niko nakunywa ! Sijala Wala Nini huu so ujuha huu!! Ila sababu nafahamu Hali ya kiuchumi ya yule mwanamke na huyo X wake , acha nipige kazi hela ikae vizuri kwenye account afu siku moja ntakuja kuleta mrejesho humu
 
Kifupi bro wewe kwa huyo mwanamke ni mchanga na mdogo mno ... Kimawazo na kifikra yupo mbele yako hatua 100 ...so hata umkimbize vipi humpati.


Siku alio Anza kuja huyo jamaa yake ndio siku ambayo ulitakiwa uanze kurudisha gharama zako ikiwezekana ili takiwa umkope Kama milioni hivi na utulie kimya akikupa ... Na siku ambayo kakupiga burn kwenda kwake ndio siku ambayo ulitakiwa umkatie mawasiliano mazima bila chembe ya huruma hata Kama moyo ungekuuma.


Ila kwa sababu wewe bado poyoyo kwenye mapenzi nikuambie tu hauna utakacho mfanya huyo mwanamke usijulikane labda mfe wote ....kwa Sasa tuliza kijambio kuwa mpole tu yataisha maumivu .

NB
Ukijifanya kumbembeleza ndio utawapa topic ya kunogesha mapenzi yao na yatanoga ukweli na yatakuchoma haswaaa....kaa kimya Kama kitu hakija tokea vile na usinitafute itakusaidia kumrudisha chap na kuwa slave wako
 
Sio MKE wa mtu bro, huyo X Ana wake wawili nyumbani kwake hapa Ni Kama mchepuko wake japo wamekaa kwenye mahusiano kwa muda wote huo
Nitakuja kucoment baadae based on this comment.
 
Mleta mada huu sasa ni ushauri wangu. Kuwa kwenye mahusiano na mwanamke kwa miaka 10 ni jambo ambalo unatakiwa ulitafakari kwa kina. Hili swala ni zito sana kwenye mapenzi, unaweza kuongea yote kama vile waliachana na blah blah zingine lakini ukweli utabaki kuwa hawa watu wanapendana. Na ukitaka uthibitisho zaidi kuwa hawa watu wanapendana ni ile hali ya mwanaume kuwa na wake wawili lakini bado bidada halioni hilo kama ni tatizo ndio maana wamedumu for 10 years. Ninachotaka kukuambia ni kwamba hao watu hawawezi kuachanishwa na mtu yeyote, kuachana kwao ni mmoja wapo aamuae kumwacha mwenzie kitu ambacho sio rahisi.
Ushauri wangu ni huu "achana na huyo mwanamke atakuharibia mipango yako ya kiuchumi maana ukiendelea kumng'ang'ania atakuvuruga sana mpaka utatoka kwenye reli. Huyo sio wako ni wa huyo jamaa mwenye wake wawili. Huyo mwanamke anampenda jamaa, kwako alikuwepo kwa sababu walizinguana na jamaa, sasa washaweka tofauti zao pembeni wamerudi kufurahia penzi lao"
 
nayahisi maumivu uliyonayo, pole mkuu wangu, uwe makini na ufuate utaratibu wakati mwingine..
 
Asante ntazingatia!! Ila mm sio poyoyo kwenye mapenzi Ila kwa hili linalonikuta Hilo jina linanifaa kabisa
 
Huu ushauri unaweza kua Ni ushauri Bora niliouona ! Wengine pia mmeshauri vzr lakini huu naona kitu kinaingia kwenye ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…