Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake
Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya Msingi)
Asanteni
Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya Msingi)
Asanteni