Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Asante. Ninajitahidi sana nisimlinganishe na wengine ninapokuwa namwelekeza jambo maana najua ataumia sanaKuwa slower leaner sio kosa
watoto wote hawawezi kuwa na uwezo sawa wa kiakili darasani.
So don't compare.
SawaMpe muda mbona na Mimi nilikuwa Kama yeye Ila siku gari lilipochanganya vipanga walininunia wote
Asantemfanye awe anarudia mara kwa mara atakua vizuri tuh tena hao gari likija kuchanganya huwa wanasoma mara moja tuh wameshaelewa na hasahau
Hivi huwa nawapa Watoto wangu wakiwa wadogo baada ya hapo huwa siendelei tena. Si ndio vinaitwa Omega 3. Labda nijaribu tena awe anatumiaKuna vidonge vya mafuta ya samaki umejaribu hvo ant
Nitazingatia hili. Shukrani sanaNenda nae taratibu. Wakati unamfundisha usimjazie mambo mengiii kwa wakati mmoja yaani pawe na pumziko kati ya somo moja na jingine. kabla hujaanza kitu kipya rudia kwa kifupi kile cha awali. Awe na muda wa kupumzisha akili na mwili. Usiache kumuombea wakati mwingine vipepo navyo havikai mbali.
Ndio jaribu hivo madam..Hivi huwa nawapa Watoto wangu wakiwa wadogo baada ya hapo huwa siendelei tena. Si ndio vinaitwa Omega 3. Labda nijaribu tena awe anatumia
Hapo sawaAsante. Ninajitahidi sana nisimlinganishe na wengine ninapokuwa namwelekeza jambo maana najua ataumia sana
Miaka 8Akirudi shule awe anajikumbusha mara Kwa mara aliyojifunza siku iyo na ana umri gan?
Oooooh nitajaribu na hiyo ya KatuniNdio jaribu hivo madam..
Kingine kuwa na mtindo wa kumwekea katuni zile za kingeleza au weeknd nzima baad ya kazi mfosi awe anaangali katuni..
Sio zile za akili akili.
Hapana ni katuni za kina ben ten au tom na jerry..
Aangalie hzo na kila siku uwe unamwambia akusimulie alicho kiona
Fanya hyo... Is betterOooooh nitajaribu na hiyo ya Katuni
Mwache tu akifika sekondari atakuwa wa moto hautaaminiMtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake
Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya Msingi)
Asanteni