Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

Anaye wadanganya kwamba ushoga unazuiwa na kazi au majukumu magumu nani? Hivi ndivyo mnavyojidanganya eeh?

Mashoga wamepitia JKT kwa mujibu miezi 3, na wakatoboa, leo hii unasema kuhusu nn?

Mkae chini afu muanze kutafiti nn maana ya ushoga, hizi fikra zenu zinawapotosha kuhusu. Lol.
 
Tufanye nini kuzuia hii kitu?
 
Usimtilie kiwingu, anapatikana wapi nimpe ushauri.
 
Kama anapenda ushoga mpeleke ccm makomredi wamgeuze kada
 
Kama anapenda ushoga mpeleke ccm makomredi wamgeuze kada
 
Sema ni wewe udugu wangu hakuna wa kukupiga mawe. By the way wakujianika tiktok kashakubuhu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…