Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

kesha liwa mtu tayari pole sana mleta mada kwani uligombana na mareender yako mpka uyafanyie ukatili wa namna hiyo
 
Kuna maswali mengi sana na yanahitaji Uchunguzi..

Kuna Nyama Zimeota huko Chini??
Damu inakuwaje? Je Ni Nyeusi Na ina malenda malenda (Melena)? Je Ni nyekundu kama Damu ya kawaida? Au ni Pinki??

Damu zinaambatana na Constipation au Choo Kigumu?

Damu zinaambatana na maumivu ya Tumbo au Sehemu ya Haja kubwa?
Au ni painless?
Damu ni nyingi kwa kiasi gani?

Maswali hayo yatatupa Mwanga kujua Tatizo liko sehemu Gani kama ni Uper GI (tumbo la juu) au Tumbo la Chini (Lowe GI) au Kujua aina ya Tatizo ..

Shukrani
CC hmaloh
 
Sasa hapa ndo amepatikana mtaalamu sio hawa wa google
Mkuu naomba unisaidie huku watu wa chat gpt wanataka kunimaliza
 
Sasa hapa ndo amepatikana mtaalamu sio hawa wa google
Mkuu naomba unisaidie huku watu wa chat gpt wanataka kunimaliza
Mbona Ni madaktari na Wanajua, ๐Ÿ˜…
Sema tu Mgonjwa Ameficha Baadhi ya Features
Kwa uoga au Kwa kuhisi Atadhalilika, kwahyo ukiwa haraka haraka Unaweza ukadhani ni amoeba au ugonjwa Mwingine wa kawaida..

Ila ukisoma Vizuri unagundua Sio Tatizo la Muda Mfupi, Maana ni la Muda mrefu so Linahitaji Close Examination na Investigation..
 
Kwa maelezo ya muhusika anasema damu inatoka ya kawaida (nyekundu) na choo iwe kigumu ama kilaini shida Iko palepale na baada ya kujisaidia maumivu yanaanza papo hapo hata kukaa inakuwa shida baada ya muda kupita hali inatulia ila ndio hivyo tena boksa inakuwa imechafuka mno kama Binti aliyeingia period (hedhi)
 
Sasa hapo shida inakuja mtu hajatoa details za kutosha halafu mtu anakuja ame confirm diagnosis moja kwa moja na anamuandikia dawa kabisa ๐Ÿ˜‚
Hawaulizi hata swali la nyongeza ๐Ÿ˜‚
 
Ulimpeleka hospital wanasema tatizo ? Hiyo ni hatari msiendelee kukaa nae home huyo Cc ephen_
 
Sasa hapo shida inakuja mtu hajatoa details za kutosha halafu mtu anakuja ame confirm diagnosis moja kwa moja na anamuandikia dawa kabisa ๐Ÿ˜‚
Hawaulizi hata swali la nyongeza ๐Ÿ˜‚
Mkuu nitakutafutia dawa zako za kumeza umeanza kuonesha chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ