Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 6,048
- 8,826
mnajinyanyasa wenyeweee maana mnawakaribisha wageni na kukaa nao baada ya miaka kwenda wakijua kiswahili vzuri mnawapenyeza katikati ya nchi.Kigoma tunanyanyasika sana kwa upande wa uraia
anyway waelekezen wagen namna nzur ya kuishi nchini