mnajinyanyasa wenyeweee maana mnawakaribisha wageni na kukaa nao baada ya miaka kwenda wakijua kiswahili vzuri mnawapenyeza katikati ya nchi.Kigoma tunanyanyasika sana kwa upande wa uraia
Hivi huwa inakuwaje mtu anakuwa na passport ya nchi mbili? Angepata NIDA angemaliza kazi. Kitambulisho cha NIDA kina thamani kuliko passport.Sasa hapo ndo shangaa utakuta ambaye sio MTANZANIA na anapewa PASSPORT (mimi namjua mrwanda) alipewa passport na anayo mpaka sasa lakini NIDA walimkatalia kumpa kitambulisho ila PASSPORT anayo ndio jiuilize jijibu mwenyewe.
Sasa hapo MTANZANIA halisi FIGISU kibao dah! ROHO mbaya sana
Tanzania ni nchi ngumu sana kwa mhamiaji kuishi kwasababu ya lugha. Yaani usipojua Kiswahili lazima ukamatike tofauti na nchi zinazoongea kiingereza sana kama Zambia na SA. Huko hata usipojua lugha zao za asili unaweza kuishi endapo kiingereza kinapanda.mnajinyanyasa wenyeweee maana mnawakaribisha wageni na kukaa nao baada ya miaka kwenda wakijua kiswahili vzuri mnawapenyeza katikati ya nchi.
anyway waelekezen wagen namna nzur ya kuishi nchini
Dodoma yeye yupo darWewe siumunganishe sasa unamwambia amtafute mtu wakati wewe pia una conmection bora hata usinge comment tu
Tz wageni wanapata tabu ila watz weng wanawahifadhi sana wahamiaji wasio na vibal hasa watu wa mipakaniTanzania ni nchi ngumu sana kwa mhamiaji kuishi kwasababu ya lugha. Yaani usipojua Kiswahili lazima ukamatike tofauti na nchi zinazoongea kiingereza sana kama Zambia na SA. Huko hata usipojua lugha zao za asili unaweza kuishi endapo kiingereza kinapanda.
uhamiaji watu wa idara husika wamesema si mtz sasa we unataka apate passport ilihal si mtz.Wewe siumunganishe sasa unamwambia amtafute mtu wakati wewe pia una conmection bora hata usinge comment tu
Hapo nawaelewa uhamiaji.Nikweli wazazi wanatokea kigoma. Mimi nimezaliwa moro
Ni kawaida. Tatizo wahamiaji wa Burundi, Rwanda na Kongo wana roho chafu sana. Ushenzi unaoendelea Geita chanzo ni hao wahamiaji. Rukwa, Songwe na Mbeya kuna wazambia na wamalawi ila hawana ushenzi kama hao wa Burundi, Rwanda na Kongo.Tz wageni wanapata tabu ila watz weng wanawahifadhi sana wahamiaji wasio na vibal hasa watu wa mipakani
Kama yule jamaa wa Geita alihojiwa na Clouds ni mwekezaji mwenye mabasi kibao. Yule dingi ni mnyarwanda pure... yaani haina hata kuuliza ukiwaona wanafamilia wake.Hapo nawaelewa uhamiaji.
Ukweli ni kwamba watu wengi wanasema wanatoka Kigoma ni warundi au wakongo au wanyarandwa.
Hasa hasa warundi.
Kwa habari iliyo wazi warundi wengi sana tunao maeneo mengi ya Tanzania wanajiita watanzania.
Basi itakuwa wanakuhusisha na Warundi1.Morogoro
2.Mha
3.Shule ipo Morogoro wilaya kilosa
4.wazazi sasa wapo Morogoro.walitoka kigoma 1992 kuja Morogoro
Blue coast na Ditto Biteko wana vinasaba vya kutoka kwa PAKA.Kama yule jamaa wa Geita alihojiwa na Clouds ni mwekezaji mwenye mabasi kibao. Yule dingi ni mnyarwanda pure... yaani haina hata kuuliza ukiwaona wanafamilia wake.
Hivi huwa inakuwaje mtu anakuwa na passport ya nchi mbili? Angepata NIDA angemaliza kazi. Kitambulisho cha NIDA kina thamani kuliko passport.
Blue coast na Ditto Biteko wana vinasaba vya kutoka kwa PAKA.
Ni kweli mkuu. Nakubaliana na wewe wala sina tatizo kabisa.Unaweza kuwa na vinasaba vya nchi yeyote ile hiyo haikufanyi wewe kutokua mtanzania. Hawa waarabu na wahindi nchini Wana vinasaba vya wapi? Does that make them any less Tanzanians?
Mkuu ushenzi gani huko unaoendelea GeitaNi kawaida. Tatizo wahamiaji wa Burundi, Rwanda na Kongo wana roho chafu sana. Ushenzi unaoendelea Geita chanzo ni hao wahamiaji. Rukwa, Songwe na Mbeya kuna wazambia na wamalawi ila hawana ushenzi kama hao wa Burundi, Rwanda na Kongo.