Msaada: Tumepoteza kazi baada ya kudai haki zetu


Mkuu, hakuna mtu anataka watu wasumbufu kazini kwake. Na kumchinja kobe yahitaji timing ndio maana kasubiri mkataba umeisha na hajakuongezea.
Hakuna sheria kavunja hapo.
 
Ukiona hvo basi kuajiriwa sio sehemu yako..jiajir kama waweza..its possible.
 
Pole Mkuu..

Kwa maana ya sheria za mikataba, mlichofanya ni sawa ila kwa upande mwingine kama ilipofika mwisho wa mkataba mwajiri hakuwapa mkataba mpya na sababu iko wazi kwa pande zote hapo hana kosa as far as kuna "clause" iliyotamka kua mkataba wako ukiisha unaweza kupata au usipate mktaba kutegemeana na sababu a b c.

Kinachokutatiza ni issue ya "kibinadamu" na unaunganisha nukta kua kudai haki zenu awali inawezekana kumepelekea kutokupata mkataba mpya..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini amekiuka order halali za serikali kwa kwenda kinyume na alivyoagizwa??
Kwenye utumishi punguza ujuaji na kujifanya wewe ndo mbabe unajua kutetea au kupigania watu sio private s tu hata selikalin

Tofauti ni kwamba aelikalini kufukuzwa kazi Ila utahamishiwa maeneo ambayo unahis kabisa ni adhab au kutopewa tu kazi tqa ziada kupata posho mfanokama Drava usishangae gari yako inashinda imepaki tu

Zama zimebadilika
Binafs ofis yangu sihtaj watu wa chamzo xha migomo so ntakutimua tu ofis ni yangu sio ya ukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umesahau ile methali ya mtumikie kafiri upate mtaji wako?

Kuajiriwa ni sawa na utumwa, usilete sheria na kujua kwingi kwa mali ya mtu anayekupa ugali

Sasa ni muda mzuri sasa wa wewe kujiajiri na zile haki ulizokuwa unazidai kwa mwajiri wako ujipatie mwenyewe.
 
Angevunja Mkataba unaweza kwenda CMA ila kama mkataba unasema alitakiwa akujulishe kwamba hatoendelea na mkataba kabla haujaisha na hakufanya hivyo tafuta Mwanasheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole ndugu..

Life tight sana now.
 
Wewe inaonyesha hata hao wa wafanyakazi hauna kwa akili hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuuliza ni ujinga wa hicho ulichouliza,kama unajua hauwezi kuuliza!kuna methali zinahitaji marekebisho

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa vile wanavyojua wao ndo sahihi kwa 100%....kumbe wapo wrong.......

Kuuliza ni kutaka kujua sio Ujinga, Ujinga ni kujifanya unajua wakati hujui, au upo wrong...!
 
Sheria huwa inamlinda kiongozi wa chama cha wafanyakazi eneo la kazi kwenye kadhia kama hii. Sasa kama ww sio kiongozi na mkataba wako umeisha, jipange
 
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa vile wanavyojua wao ndo sahihi kwa 100%....kumbe wapo wrong.......

Kuuliza ni kutaka kujua sio Ujinga, Ujinga ni kujifanya unajua wakati hujui, au upo wrong...!
Tafsiri yako ya Ujinga sio ya kweli;Tulivyoambiwa tuna maadui watatu na wanasiasa umaskini,maradhi na ujinga!Kwa hiyo wewe ukaelewa ujinga ni kujifanya unajua kitu wrongly?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpelekeni mwajiri wenu mliko dai haki zenu mara ya kwanza simple tu sio kila kitu unauliza uliza tu kama mjinga
Kasema mkataba umeisha na Mwajiri hajataka kuongeza mkataba.Sasa hapo utashtaki vipi wakati Mwajiri kasubiri mpaka imefika sehemu panapomlinda ndo akashusha rungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…