Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Imemchanganya kisaikolojia pia kumbuka hormonal imbalance sasa hivi, muonee huruma labda kwenda kwao itasaidia lakini ongea na mama yake amshauri asiitoe hiyo mimba.Anasema anatamani aende kwao sababu mimi namsumbua kilamara napenda kumuomba unyumba.
Kuhusu uaminifu nikweli huwa sipendi kuzurura hovyo, namuheshimu, ilasasa naanza kujilaumu kwamba labda ningechepukatuu kutokana na lawama anazonijazia na kilio juu.
Sent using Jamii Forums mobile app