Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

Anasema anatamani aende kwao sababu mimi namsumbua kilamara napenda kumuomba unyumba.
Kuhusu uaminifu nikweli huwa sipendi kuzurura hovyo, namuheshimu, ilasasa naanza kujilaumu kwamba labda ningechepukatuu kutokana na lawama anazonijazia na kilio juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imemchanganya kisaikolojia pia kumbuka hormonal imbalance sasa hivi, muonee huruma labda kwenda kwao itasaidia lakini ongea na mama yake amshauri asiitoe hiyo mimba.
 
Tafdhali mtoa mada nakusihi zungumza na mkeo, msitoe mimba bali muilee. Mpeleke kwa wanasaikolojia wakae naye na wamweleze kuwa inawezekana. Pia jitahidi kumwonesha mapenzi ya ziada zaidi ya awali ili ajue uko pamoja naye. Kingine ni kwamba jaribu kumsahaulisha kwa kupeleka katika sehemu tofauti na mazingira ya nyumbani walau kwa muda tu. Mkiwa huko mweleze jinsi unavompenda na kumthamini. Mwambie kile kiumbe kijacho kutafanya makubwa hapa duniani na mambo mengine mengi. I'm sure atakuelewa na mtaendelea kuwalea wanenu wote wawili. Mungu awe nanyi katika yote.

Kabayeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bahati nzuri tu mkuu mkeo aendelee kumnyonyesha mtoto kama atapenda. Matatizo yanakuja mtoto mpya anapozaliwa au morning sickness zinapozidi mnasahau kuwa huyu bado ni mtoto na anahitaji mapenzi.
Hata kama mkeo anakuhitaji jitahidi kuwa na muda na dogo hata mwingine akizaliwa
Mkuu acha kumnyonyesha huyo mtoto Mara moja mtafutie maziwa Yale ya watoto nenda kwenye maduka yanakopatikana maziwa hayo lkn sio umpe yale ya nido au cowbell yapo maalum,na hapo madaktari wengi watakushauri endelea kumnyonyesha walau asogee mwaka mmoja kama haumuitaji mtoto wasikilize mnyonyeshe,Mimi wa kwangu ilinitokea akiwa na miezi saba nikawasiliza aliendelea kunyonya ndani ya wiki mbili aliharisha kwa muda mrefu na kikadhoofu tulimuachisha ikagharimu miezi miezi si chini ya mitatu akalikava na sasa ana miaka 2 na miezi 6 yuko poa ila atakuwa na usumbufu kidogo wa kiafya kutokana na kukosa maziwa ya mama ila wangu nilimpa maziwa ya ng'ombe mepesi kwa kunywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijaribu kutoa hiyo mimba,
hilo ni swala la kawaida
mimba ya pili uwa inawahi
mimi ilinitokea,wala hatukuita bahati mbaya
ila tulitafuta ushauri wa kidaktari
ukiwaona hao watoto wetu utadhani mapacha.
wanapendeza,hivyo na wewe waone madaktari utavuka salama.
Asante kwa kunitia moyo natamani nimuonyeshe mawazoyenu humu labda yata mtia moyo na kukubali hiihali lakini kwajinsi alivyo cool saizi sijui namuanzaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafdhali mtoa mada nakusihi zungumza na mkeo, msitoe mimba bali muilee. Mpeleke kwa wanasaikolojia wakae naye na wamweleze kuwa inawezekana. Pia jitahidi kumwonesha mapenzi ya ziada zaidi ya awali ili ajue uko pamoja naye. Kingine ni kwamba jaribu kumsahaulisha kwa kupeleka katika sehemu tofauti na mazingira ya nyumbani walau kwa muda tu. Mkiwa huko mweleze jinsi unavompenda na kumthamini. Mwambie kile kiumbe kijacho kutafanya makubwa hapa duniani na mambo mengine mengi. I'm sure atakuelewa na mtaendelea kuwalea wanenu wote wawili. Mungu awe nanyi katika yote.

Kabayeya

Sent using Jamii Forums mobile app
Amina ubarikiwe ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una yako tu! na ushakuja na jibu lakuitoa bas hapa unatuona tunakupigia kelele! kilala heri
Nikweli wazo lakwanza lililonijia nikutoa na najaribu kuona kama nikitoa itakuwa na madhara kwa mtoto au laa, nawaza tu njianzuri ambayo haita mletea madhara mama, sababu mtoto badomdogo sana ndiomana na jaribu kuomba ushauri na kueleza ninachowaza Mimi.
Hatahivyo nashukuru kwa ushauri mzuri na nimefarijika na ushauriwako mkuu, siokelele kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu cha msingi tafuta misoprotol uflash no way out ili suala hata mm lilinikuta dogo ana miezi 2 kitu kingine kikaingia ni full kupagawa
 
Imemchanganya kisaikolojia pia kumbuka hormonal imbalance sasa hivi, muonee huruma labda kwenda kwao itasaidia lakini ongea na mama yake amshauri asiitoe hiyo mimba.
Asante kwa ushauri mzuri nitafanyia kazi.
Nitamwambia dadaake aongeenae but, wakijua it's a little bit shame, siendi ukweni for the moment.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muachishe mtoto kunyonya... tafuta feeding ingine ya kitaalamu....

Then liamshe dude kama kawa... ale vizuuri... matunda mazoez na ushaur wa kitaaluma mara kwa mara... hapo mbona mambo mazuur tu hakuna tatizo lolote...

Akiwa na uoga atajiua kisaikolojia na kuharibu watoto woote.

Big up braza
.... amsha mbwela... no dought

Sent from "La -Vista"
 
Siku mtoto anakuja kujua Baba na Mama yake walitaka kumflash.
Wanajuaje au unataka umwambie akisha zaliwa hizo ni hadithiii xdhani kama kuna mama atamwambie mwanae nilitaka kukutoa baba ako alikatazaa atakuwa zeroooo huyo mama
 
Msitoe mimba hiyo nyie,nendeni kwa wazanziar wawape darasa jinsi ya kuhandle hiyo issue,wapemba Watoto wao wanapishana miezi 10 au 9 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikupe hongera kwa uvumilivu, wenzio Kigoma mtoto ana miezi miwili tayari mama ni mjamzito na hawatoi, sasa wewe distance yote hiyo utoe si ni kutafuta laana? Nakushauri tunza maana kutoa ni kuhatarisha maisha ya mama 100%. KUMBUKA KUFANYA KOSA SI KOSA BALI KURUDIA, Tchao
 
Back
Top Bottom