FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hao ni majambazi kama majambazi wengine tu, ila kwa kuwa wanapesa, watakuwa wameshakimbilia mafichoni Nairobi, hivyo jeshi la polisi washirikiane na Interpol kuwasaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhan kama issue yenu ipo registered kituo chochote cha police na mna RB police yoyote wa jiran anaweza fanya arrest na kumuwakilisha kituo husika. Au hamaja report popote mnatenfemea Huruma ya Makonda.Asante.
Hii nayo inahitaji msaada manake sisi hatuwezi kumkamata mtu. Ukiona tumemwaga jamvini kuna mahali tunakwama mkuu.
Nashukuru sana!
Nadhan kama issue yenu ipo registered kituo chochote cha police na mna RB police yoyote wa jiran anaweza fanya arrest na kumuwakilisha kituo husika. Au hamaja report popote mnatenfemea Huruma ya Makonda.
semper fidelis
Weka wazi mmekwama wapi? Isijekuwa mmepeana pesa bila mikataba.Asante sana.
Kumkamata mtu pia inahitaji msaada ukiona mpaka tumekuja hapa jamvini mambo yamesuasua mahali fulani ndugu yangu.
Nashukuru kwa ushauri wako
Mhamasisheni afungue pia akaunti humu tuwe tuna-share naye idea kama ilivyo kwa akina Mh. Kigwangala na Mh. MkumboNdugu zangu,
Naamini hapa jamvini watu wa aina mbalimbali na nyeti wanasoma jumbe hizi.
Kampuni ya Jog Agri-Consult & Solutiions (T) Ltd chini ya wakurugenzi wake Grace Mzoo (Mkurugenzi Mtendaji) pamoja na Jackson Bwire pamoja na Mhasibu wao Cecilia Bukukura imechukua pesa za wawekezaji wa Papai tangu mwaka 2017-2018...
Mkuu inabidi uwe wazi asee. Humu kuna wanasheria kibao watawasaidia vizuri tu. Mkitegemea huruma ya Makonda kumbuka wengi wanampelekea kesi kibao zilizoshindikana na lazima waangalie watatatuaje shida yenu kisiasa zaidi.Tumejaribu kufanya hivyo Pwani (Mkuranga) wakatuambia tuje Dar manake Kampuni ipo huku na wakurugenzi wanaishi huku. Dar nako wanasema ni kama hawaoni jinai.
Thanks
Weka wazi mmekwama wapi? Isijekuwa mmepeana pesa bila mikataba.
False pretence under Chapter XXX of Tanzania Penal Code naiona nje nje.....why hawaoni jinai? Mnaeza pia tumia TAKUKURU au wale jamaa wa financial Crime walikua kamata sasa hivi sijui wao wapiTumejaribu kufanya hivyo Pwani (Mkuranga) wakatuambia tuje Dar manake Kampuni ipo huku na wakurugenzi wanaishi huku. Dar nako wanasema ni kama hawaoni jinai.
Thanks
Hahaha matapeli wanambinu za kivita Sasa hivi yale yale ya Qnet na wenzake Mr kuku
False pretence under Chapter XXX of Tanzania Penal Code naiona nje nje.....why hawaoni jinai? Mnaeza pia tumia TAKUKURU au wale jamaa wa financial Crime walikua kamata sasa hivi sijui wao wapi
semper fidelis
TAKUKURU sina uhakika sana ila jaribuni tu kurusha mawe gizani mnaweza fanikiwa mlenga mhusika.Asante, tutajaribu kuwatafuta hao wa Financial Crime ila TAKUKURU sikuwa na uhakika kama wanaweza kuhusika kwenye hili.
Thanks Mkuu!
acha uongo! kwa kauli yako hii ina maana hta kununua hisa kwenye makampuni mbalimbali ni uongoHakuna mtu wa kwenda kukulimia then akutafutie soko halafu akuite haya boss njoo uchukue pesa yako wkt huo wewe umeweka kende home tu unaangalia zako movie/tamthilia za kutafsiriwa kwa kiswahili.
Pesa sio rahisi hivyo.
share economy inatumika duniani kote na watu wanapata hela.Yani kila siku tunasema humu kuhusu huu upuzi yani wabongo sijui wapoje kama ma...ku vile mtu una milioni tisa unashindwa kulima mwenyewe hadi ulimiwe ibiweni mana akili hamna kwny bichwa vyenu kenge nyie
Mr Kuku.Hivi jamani hapa JF mbinu za kukwepa utapeli tunazofundishana hapa bado wapo watu wanapigwa kirahisi hivyo;
-Itapeli wa Kufuga Sungura baada ya kuuziwa mbegu kwa Mamilioni -Dsm
-Utapeli wa Kilimo cha Nyoka Bagamoyo ili baadae wanunue Vernom - Pwani, wahanga walijengewa mabanda na kuuziwa mbegu kwa bei ya Harrier.
-Utapeli wa Ufugaji wa Kwale ili baadae mayai yanunuliwe - Dsm.
- Utapeli wa Kilimo cha Matikiti Maji kule Mwanza tikitimaji lenye Kg 30 ili baadae liuzwe Ubelgiji na France, mbegu, Mbolea nk viliuzwa kwa bei ya Kufuru - Mwanza.
-Ufugaji wa Mende - Dsm
Dili zoooote hizo watu wamelizwa na kuachwa kwenye mataaa.
- Sasa Utapeli wa Mapapai! bado hamjifunzi tu jamani, tunachoka kuwapa pole kwa ujinga wenu. Mada za Utapeli wooote huo hapo juu ziko hapa jamvini, huyo tapeli anaanzaje kwa mfano.
Kukujibu mtu kama wewe hizo nguvu bora mtu akapigie puli tu.acha uongo! kwa kauli yako hii ina maana hta kununua hisa kwenye makampuni mbalimbali ni uongo
Hv huyu wa majoka aliishia wapi? Mara ya mwisho alikuja kulia humu.Ukiitwa firsan ujue wewe ndio fursa MTU kirahis tu unatoa m9 kwa kauli za motivational speaker
Ungefuatilia kwanza kujua hyo kampun imewah Fanya mrad gan mkubwa au was kat na ikafanikiwa
Ndio yaleyale watu wamefugishwa sungura na mwishowe wakaachwa
Mwingne humu alifugishwa majoka huko bagamoyo sasa yanataka kumla yeye
WATANZANIA TUWE TUNAFUATILIA MAMBO KUZIJUA KAMPUNI ZA HOVYO KAMA HAO JOG