Kushinda ni jambo Moja,Unataka Uchaguzi Mkuu ufanyike kesho uone matokeo yake? CCM tutashinda kwa zaidi ya asilimia 98%! Na ndio lengo letu.
CCM wauone huu Uzi, ni wazi mgombea wao hana uwezo kabisa wa combat hizo deficity.Hellow Tanganyika,
USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk
Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika.
Tujiulize yafuatayo;
1. CCM tunaye mgombea KITI kikuu awezaye kuwasaidia wananchi kujitegemea, kuishi bila kutegemea misaada Toka nje?
2. Mnaye mgombea anayeweza kufidia upungufu wa budget utakaoondolewa na marekani na World bank Kwa Nchi yetu Kwa kujifunga mkanda kubana matumizi ya serikali wakati huo huo akilipa deni linalokatibia Trillion 100?
3. Mnaye mgombea anayeweza kuwatisha wezi wa pesa za umma Ili makusanyo yatoshe maana misaada hamna?
Muda wa kufanya mabadiliko Bado upo, hamjachelewa,
Wakati mkiendelea kujibu maswali hayo, wananchi tunajiuliza,
1. Vyama vya upinzani, je vinaweza kutuletea mgombea ataeendana na mabadiliko yanayokwenda kuipata Dunia?
Niko pale Nasubiri kuelimishwa.
Karibuni 🙏
Bahati mbaya ni kwamba vyote ulivyoorodhesha si vipaumbele vya ccm!Hellow Tanganyika,

Umecomment kama yule Mzee wa Bunda.Bahati mbaya ni kwamba vyote ulivyoorodhesha si vipaumbele vya ccm!
Kwahiyo unahisi "Dunia au Tanzania Itapotea" kwasababu Trump ni Rais wa Marekani? Unajua maana ya ku hirbernite? Ni miaka minne Trump atakuwa " a goner" na mambo yatarudi kama kawaida.Kushinda ni jambo Moja,
Kukabiliana na Mabadiliko yatokanayo na ujio wa Trump ni jambo lingine.
Jibu maswali hapo juu. 🙏
Hiyo miaka mine CCM na wananchi watavumiliana?Kwahiyo unahisi "Dunia au Tanzania Itapotea" kwasababu Trump ni Rais wa Marekani? Unajua maana ya ku hirbernite? Ni miaka minne Trump atakuwa " a goner" na mambo yatarudi kama kawaida.
Kwamba ikija na mgombea mpya mwenye UTHUBUTU, maono, kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia ujio wa Trump,haiwezi kushinda?Unataka Uchaguzi Mkuu ufanyike kesho uone matokeo yake? CCM tutashinda kwa zaidi ya asilimia 98%! Na ndio lengo letu.
Just wait. Time Will Tell. CCM omepitia vipindi vigumu zaidi ya hivi vya Trump. Kwanza kumbuka, Trump wako aliishawahi kuwa Rais wa Marekani na CCM na Serikali yake wakatoboa!Hiyo miaka mine CCM na wananchi watavumiliana?
Mgombea Urais wa CCM ni Dk. Samia Suluhu Hassan. Na ndio mbeba maono ya CCM na Watanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025!Kwamba ikija na mgombea mpya mwenye UTHUBUTU, maono, kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia ujio wa Trump,haiwezi kushinda?
Trump yule hakuwa na wabunge wa chama chake ndani ya bunge hivyo miswada yake mingi ilikwama,Just wait. Time Will Tell. CCM omepitia vipindi vigumu zaidi ya hivi vya Trump. Kwanza kumbuka, Trump wako aliishawahi kuwa Rais wa Marekani na CCM na Serikali yake wakatoboa!
Swali jengine?
Samia hana kibali cha Mungu cha kuwa m'beba maono ya Tanzania 2025-2030.Mtoe.Mgombea Urais wa CCM ni Dk. Samia Suluhu Hassan. Na ndio mbeba maono ya CCM na Watanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025!
Trump anamtisha mtu mjinga kama wewe, lakini HAWEZI kuitisha CCM wala Serikali yake. Ndio maana Watanzania HAWAPO tayari kumpa hata kura moja mtu kama Lissu ambaye wanajua ni kibaraka ambaye yupo tayari kupiga makofi hata Trump akijamba! Ahahahahaha!!!Trump yule hakuwa na wabunge wa chama chake ndani ya bunge hivyo miswada yake mingi ilikwama,
Huyu wa sasa uwezo anao Toka bungeni.
Halafu Kweli kabisa umekosa majibu Hadi useme miaka ya trump itaisha mkivumilia?
Kwani kuachana na RUSHWA , matumizi mabaya ya pesa za umma,na wizi wa kura hamuwezi kabisa?
Nadhani umesahau pia Trump aliingia kitini akiambatana na Magu,Just wait. Time Will Tell. CCM omepitia vipindi vigumu zaidi ya hivi vya Trump. Kwanza kumbuka, Trump wako aliishawahi kuwa Rais wa Marekani na CCM na Serikali yake wakatoboa!
Swali jengine?
Dk. Samia Suluhu Hassan mbeba maono ya CCM, Serikali yake na Watanzania kwa ujumla anatosha.Nadhani umesahau pia Trump aliingia kitini akiambatana na Magu,
Wote wakakaa term Moja na kuondoka,
Trump amerudia kumalizia KAZI aliyoiacha mwanzo,
Je Tanganyika ni nani wa kuvaa viatu vya mzalendo Magu na kuimalizia KAZI aliyoiacha?
Karibu.
Ukinithibitishia ya kwamba wewe ni Malaika Gabriel mleta Ujumbe kutoka kwa Mungu nitakuunga mkono kwa asilimia mia!Samia hana kibali cha Mungu cha kuwa m'beba maono ya Tanzania 2025-2030.Mtoe.
Sasa vita hiyo ya Mungu vs miungu, wa kuzuia ni mlawi, Yehu na tayari yumo ndani ya chama chenu,Trump+ Elon Musk = 666
Kwani uchaguzi umeshatangazwa?mgombea si walishamtangaza dodoma mkuu
Mkulu usijikanyage tu mukichwa.Linapokuja suala la maslahi mapana ya nchi, vyama tuwwke pembeni,
Msaada tutani🙏