- Thread starter
- #81
Hujaelewa,Mkulu usijikanyage tu mukichwa.
Umeuliza swali lako kisiasa.
* kwamba pale ulipoingiza hao mafisicM basi teyari mada ni suala la Kisiasa sio la kitaifa tena ingwaje kwa mapana linahusu ustakabali wa muinchi.
Nasema labda uombe mods wabadilishe huko juu na isomeke Watanganyika
Msaada tutani, Watanganyika mna mgombea wa kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?
au kwa tafsiri nyingine
Batanganyika mna mikakati gani ya kukabiliana na mabadiliko na sintofahamu yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?.
otherwise endesha mada za Udini
Unawekaje vyama vya siasa pembeni wakari umeitaja CCM?
Si kuwekwa pembeni kama unavyodhani,
Ni katika kuweka vipaumbele,
Kwamba inaanza Nchi Kisha vyama na itikadi vifuate.
U mkongo wewe?