Msaada tutani, CCM mna mgombea wa kukabiliana na mabadiliko yanayokuja duniani kupitia Rais Trump?

Hujaelewa,

Si kuwekwa pembeni kama unavyodhani,

Ni katika kuweka vipaumbele,

Kwamba inaanza Nchi Kisha vyama na itikadi vifuate.

U mkongo wewe?
 
Hujaelewa,

Si kuwekwa pembeni kama unavyodhani,

Ni katika kuweka vipaumbele,

Kwamba inaanza Nchi Kisha vyama na itikadi vifuate.

U mkongo wewe?
Asanti. Nimekuelewa.

Rais Samia Suluhu Hassan pia alishasema, so nukuu fasaha, kuwa nchi za wanaotufundisha Demokrasia huwa baada ya uchaguzi na kampeni za vyama vya siasa na siasa zake zinaakoma.

Rais Magufuli marehemu, nae pia alishsemaga maneno kama hayo pia.

Kwamba maendeleo ya watu na uchumi wao ndio uwe kipaumbele.

Kwa maneno ingine, country first au nakosea?
 
Ukinithibitishia ya kwamba wewe ni Malaika Gabriel mleta Ujumbe kutoka kwa Mungu nitakuunga mkono kwa asilimia mia!
Binafsi ma-ccm ( mwenyekiti wa mtaa wangu ambaye ni ccm na diwani ambaye ni ccm) yananifanyia hila kutaka kunidhulumu kiwanja changu kisa kipo kwenye eneo zuri kibiashara.
Katika kufuatilia chanzo cha tatizo kwa nini viongozi wa ccm wa mtaa wangu ni wadhulumaji , nikagundua wanatumwa na mwenyekiti wao taifa aliyewaambia wale kwa urefu wa kamba zao.

Mimi nina karama ya kumuona malaika ndani yangu au ndani ya mtu mwingine. Ninapo muomba Mungu jambo fulani , Mungu ananionyesha au anatenda kupitia malaika aliyepo ndani yangu.

Nilipomuomba Mungu kuhusu kudhulumiwa ardhi yangu na ma-ccm, Mungu kupitia malaika aliyepo ndani yangu, alinionyesha namna atakavyo tenda kuwaangamiza hao ma-ccm wanaopanga hila kunidhulumu ardhi yangu na namna atakavyo muangamiza rais samia anayewatuma hao ma-ccm. Kutokana na nilivyooneshwa namna malaika aliyepo ndani yangu atakavyo waangamiza samia na hao ma-ccm, naona samia atakutana na mambo magumu 2025-2030 ambayo hatakuwa na uwezo wa kuyamudu, it will be a disaster. Kuna watu huwa hatudhulumiwi,malipo yao ya dhuluma lazima wayapate samia anayewatuma na hao ma-ccm.
 
Binafsi nawashauri waache kuweka mabango barabarani na badala yake kazi ziwe ndio "mabango' kwani mabango yanaonyesha kuna weakness kubwa na wameamua kujificha ktk mabango.
kumbukeni msemo usemao "chema chajiuza kibaya chajitembeza"
 
Na mabango Yana picha za maridhiano ambayo yalikwishavunjika.

Sasa afadhali yangewekwa mabango ya biashara Kodi ikaingia Serikalini.
 
Samia atawezq tena sana tu ila angekuwa yule bwana tungekwisha
Sio kweli! Magu alikuwa mfano wa viongozi wa Africa ambao Trump anawapenda kwasababu ya siasa zao za kizalendo : kuweka maslahi ya nchi zao kwanza!
Hawezi kwenda na Samia kwasababu ya kupenda kwake kukopa kopa na kuzurula nchi za nje huku anashindwa kuthibiti rushwa na wizi katika serikali yake!
Tanzania hamna budi mjipange kwani bajeti yenu tegemezi ya Mwigulu itabidi ifumuliwe Trump haleti tena hela kwa wezi!
 
Muda Bado upo, wanaweza kurudi mezani kutatua hili.
 
Huku kwetu vituo vyote vya afya vya binafsi hawataki tena bima,

Sijui kama mwashasshambwa anajua hilo
 
Mpinga kristo alikuwepo hata-kabla yesu hajazaliwa
 
Magufuli ndo rais wa pili kukopa sana baada ya samia
 
Siasa za kizalendo hazitakiwi kwa zinazoendelea ni kuua watu ndo mana hata ujerumani wanaandamana hawazitaki. Nchi inayojitishereza angalau inaweza jarbu siyo africa. Ndo kama kipindi cha magu ilikuwa vilio na kusaga meno kila kitu hakiendi
 
Magufuli ndo rais wa pili kukopa sana baada ya samia
M
Siasa za kizalendo hazitakiwi kwa zinazoendelea ni kuua watu ndo mana hata ujerumani wanaandamana hawazitaki. Nchi inayojitishereza angalau inaweza jarbu siyo africa. Ndo kama kipindi cha magu ilikuwa vilio na kusaga meno kila kitu hakiendi
Sasa Unataka kutembeza bakuli kama Samia? Halafu hela anapewa Abdul kuhonga wanasiasa na viongozi wa dini ili wamfanyie campaign?
Sasa mfadhiri wenu mkuu Trump amewapiga spana inabidi mjitafakali!
 
M

Sasa Unataka kutembeza bakuli kama Samia? Halafu hela anapewa Abdul kuhonga wanasiasa na viongozi wa dini ili wamfanyie campaign?
Siyo issue ya kutembeza bakuli bali kuwa na open economy system. Closed economy system haifanyi kazi kwa nchi maskini ndo mana kwa mgabe inflation ilifika mpaka asilimia 30 kisa ubabe wake kama wa magufuli. Uchumi ni sayansi siyo maguvu. Bahati nzuri mgabe alikufa vinginevyo jeshi lingempindua
 
Kwani Tanzania toka lini ilikuwa na closed economy. Miaka yote tunafanya biashara na kila mtu! Hatubagui wala hatuchagui
 
Kwani Tanzania toka lini ilikuwa na closed economy. Miaka yote tunafanya biashara na kila mtu! Hatubagui wala hatuchagui
Magufuli alitaka kutupeleka kwenye closed economy ndo mana wawekezaji walikuwa wanakimbia daily na Mo alitaka kusepa wakamteka mapema. Kwanza kitendo cha kumteka mo tajiri namba mona tanzania kiliwafanya wafanya biashara wote wahisi siyo salama tena kufanya biashara nchini tanzania. Wakabaki machinga ndo wanatamba nchini. Ukimaliza degree unaambiwa kasajili vocha mtaani
 
Ntakuwa nasoma comments
 
M

Sasa Unataka kutembeza bakuli kama Samia? Halafu hela anapewa Abdul kuhonga wanasiasa na viongozi wa dini ili wamfanyie campaign?
Sasa mfadhiri wenu mkuu Trump amewapiga spana inabidi mjitafakali!
Hata magufuli alikua ananunua wanasiasa wa upinzani
Huu upuuzi wote anaofanya samia muanzilishi ni magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…