Msaada tutani: Swali kuhusu mahusiano ya kirafiki/kijamaa kazini..

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Habarini,

Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo.

Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao wanakua hawapo 100% real, ukilinganisha na chuo, Yani it's like kazini wanakaa kijanja.

Chuoni mtu unaeza ongea lolote kwa mwanachuo mwenzio, unaeza pia jielezea almost kivyovyote kwa lecturer, lakini kazini nimeona hata kama mtu ni age mate na alikuwa classmate wako, as long as amekuzidi cheo, relationship inabadilika kabisa, ile genuine interaction inapotea, unabaki kuinteract nae kwa machale..

Kwanini inakuwa hivi?
 
Wote wanaopandishwa vyeo sio kwamba wana akili sana, bali huwa ni machawa wa mabosi.

Chukua hii; kuajiriwa ni miaka 10 tu, baada ya hapo unatakiwa ujiajiri; ukikamata vijana 100 waliomaliza chekechea na kuendelea, na wengine wenye digrii wanaozunguka na bahasha mitaani; kila mmoja ukimpatia birika lenye kahawa atembeze, kwa siku unaweza kutengeneza milioni moja na kuendelea.

Tumia kichwa kikubwa kufikiri​
 
Nafikiri sababu ni level.Mtu akiwa chuo ni level ya kitoto ila ofisini ni level ya kimaisha.
 
Habarini,

Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo.

Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao wanakua hawapo 100% real, ukilinganisha na chuo, Yani it's like kazini wanakaa kijanja.

Chuoni mtu unaeza ongea lolote kwa mwanachuo mwenzio, unaeza pia jielezea almost kivyovyote kwa lecturer, lakini kazini nimeona hata kama mtu ni age mate na alikuwa classmate wako, as long as amekuzidi cheo, relationship inabadilika kabisa, ile genuine interaction inapotea, unabaki kuinteract nae kwa machale..

Kwanini inakuwa hivi?
Eeh siku niliyomsindikiza mshkaji wangu tangu tukiwa shule, nikakuta anadai milioni zaidi ya mia saba sehemu na tumeenda na bajaji. Nilijikuta naanza kuwa na adabu zaidi ya awali kuhusu yeye.

Mkuu Money Power Respect. Yote ni kujihami tu usije ukakosa michongo mizuri kizembe
 
Mfanyakazi mwenzako sio rafiki yako, tena mkiwa mnatoka jamii tofauti. fanya kazi yako ondoka, hakuna haja wala faida ya kuongea maisha yako binafsi
 
Chunga sana mipaka yako chief, kuoneana wivu ndipo huanzia huko…
Mtu unaweza kuwa na nia njema kabisa lakini wafanyakazi wenzio ikawa tofauti.
Nenda kazini fanya majukumu yako urudi home amani kabisa… na kuwa na mipaka haimaanishi kuwa usishirikiane nao kwenye masuala ya kijamii, hapana, kuwa na ushirikiano baada ya hapo funga vioo funga mkanda songa mbele.
 
Million 700? Kivipi?
Ni mfanyabiashara, sasa nilikuwa najua labda pesa za kujiweza kawaida, ndio hiyo siku nakuta watu wameshindwa terms za biashara inabidi warudishe hela yake mkuu. Natoka pale nashangaa sababu mchizi yuko simple saaanaa, ndio kumuuliza ananiambia capital yake ni kama 2B hivi.

Point yangu ni kuwa hata kazini,interaction ziende vipi, hilo linaamuliwa na vyeo au fedha.
 
Habarini,

Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo.

Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao wanakua hawapo 100% real, ukilinganisha na chuo, Yani it's like kazini wanakaa kijanja.

Chuoni mtu unaeza ongea lolote kwa mwanachuo mwenzio, unaeza pia jielezea almost kivyovyote kwa lecturer, lakini kazini nimeona hata kama mtu ni age mate na alikuwa classmate wako, as long as amekuzidi cheo, relationship inabadilika kabisa, ile genuine interaction inapotea, unabaki kuinteract nae kwa machale..

Kwanini inakuwa hivi?
Epuka kabisa ujamaa na urafiki kazini, kila mtu yupo hjapo kuchapa kazi, chapa kazi yako marafiki zao kwenu huko.

hakuna urafiki kazini wala mahusiano kazini. Ni ujinga wa hali ya juu.
 
Duuh kweli.
Ana miaka mingapi?
 
Wote wanaopandishwa vyeo sio kwamba wana akili sana, bali huwa ni machawa wa mabosi.

Chukua hii; kuajiriwa ni miaka 10 tu, baada ya hapo unatakiwa ujiajiri; ukikamata vijana 100 waliomaliza chekechea na kuendelea, na wengine wenye digrii wanaozunguka na bahasha mitaani; kila mmoja ukimpatia birika lenye kahawa atembeze, kwa siku unaweza kutengeneza milioni moja na kuendelea.

Tumia kichwa kikubwa kufikiri​
Hahaaaa kwa nn uweke msisitizo kichwa kikubwa kufiikiri hahaaa cc mshangaz
 
Epuka kabisa ujamaa na urafiki kazini, kila mtu yupo hjapo kuchapa kazi, chapa kazi yako marafiki zao kwenu huko.

hakuna urafiki kazini wala mahusiano kazini. Ni ujinga wa hali ya juu.
Thank huku hospital za mikoa watu wamezaa na wafanyakaz na kila mtu kaavha familia home ujinga ujinga
 
Kazini ni vitani pa maslahi binafsi. Moyoni hakuna mtu anapenda ufanikiwe sana na wengi hupenda kujua zaidi ya hapo wanavyokuona kwamba upoje huko mtaani.

Ni vyema sana kuangalia kile ambacho unasema mbele ya wafanyakazi wenzio.
 
Habarini,

Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo.

Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao wanakua hawapo 100% real, ukilinganisha na chuo, Yani it's like kazini wanakaa kijanja.

Chuoni mtu unaeza ongea lolote kwa mwanachuo mwenzio, unaeza pia jielezea almost kivyovyote kwa lecturer, lakini kazini nimeona hata kama mtu ni age mate na alikuwa classmate wako, as long as amekuzidi cheo, relationship inabadilika kabisa, ile genuine interaction inapotea, unabaki kuinteract nae kwa machale..

Kwanini inakuwa hivi?
Hongera kwa kupata ajira mkuu! Work hard!
 
Back
Top Bottom