Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini,
Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo.
Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao wanakua hawapo 100% real, ukilinganisha na chuo, Yani it's like kazini wanakaa kijanja.
Chuoni mtu unaeza ongea lolote kwa mwanachuo mwenzio, unaeza pia jielezea almost kivyovyote kwa lecturer, lakini kazini nimeona hata kama mtu ni age mate na alikuwa classmate wako, as long as amekuzidi cheo, relationship inabadilika kabisa, ile genuine interaction inapotea, unabaki kuinteract nae kwa machale..
Kwanini inakuwa hivi?