Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Kumbe una ndoa kabisa ya kanisani, tubu rudi kwa mkeo
 
Umepoteza kisu kweli.... Pole sana. Nakuelewa ndugu. Jipe muda. Huwezi kumsahau ila muda utakuponya na kupunguza machungu. Furahia good moments ulizo enjoy. Maisha hayana budi kuendelea Mangi.
 
Oyaaaa.

Hakuna kumuacha.
Acha kuyumbishwa.
 
Wewe.
Nisikilize mini.

Endelea na mapenzi yenu mwaya.
 
Umepoteza kisu kweli.... Pole sana. Nakuelewa ndugu. Jipe muda. Huwezi kumsahau ila muda utakuponya na kupunguza machungu. Furahia good moments ulizo enjoy. Maisha hayana budi kuendelea Mangi.

Asante kwa ushauri jombaa!
 
Mangi vipi house Girl analipa? Mpige tukio Moja mother house kurekebisha tabia yake Hata liwe tukio fake as long as tabia yake inajulikana Kwenu you will be in safe hand brother muda mwingine ambaye hamjazaliwa naye asikupunguzie umri wa kuishi......we live once brother na spare ya wehu wa Ndoa haupo duniani
 
Makucha na Makope Kama ya Joti ...Huyu mlikofikia hakuna ndoa brother mpaka unamuita zimwi Sasa ole wako uanzishe timbwili la kuachana naye utakuja kujuta..

Friends Mke asiye msaada Ni sawa na changudoa tu ..Zitambue sifa za changudoa
Aya ya mwisho nimeielewa
 
Hahahahah! Housegirl ni binti nnaemuheshimunsana bro nashindwa kumgeukia jombaa!
 
Hahahahah! Housegirl ni binti nnaemuheshimunsana bro nashindwa kumgeukia jombaa!
Mangi kama umesema yeye ndiye mama wa Familia na siku akiondoka Nyumba itakuwa shimo la taka huoni anafaa kupandishwa cheo hahahahaha
 
Mangi kama umesema yeye ndiye mama wa Familia na siku akiondoka Nyumba itakuwa shimo la taka huoni anafaa kupandishwa cheo hahahahaha

[emoji28][emoji28]au sio jombaa! Wife ilitakiwa apigwe tukio na kisu kikali km hiki kilichoolewa ila akili irudi aache kudhani mm zoba kwa ustaarabu nnaomfanyia sema tangia mwanzo niliona nikimuonyeshea ataenda kuleta tafrani kwa wazazi wa yule binti na kumletea shida binti sababu anaijua familia vyema na ss hv ataenda muharibia mwenzake ndoa yake...dawa yake iko jikoni ntampiga tukio na pini nyingine kali hata ya kupita nayo hlf naipump iwe korofi impandishie ili ajue nafasi yake maana kwa maelezo ya mdomo kashindwa kua muelewa na kipigo mi siwezi.
 
[emoji91][emoji91]
 
I feel your problems chief, I passed the same way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…