Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Mkuu pole sana..mimi ni mwanamke nachelea kusema ulipata mchepuko sahihi ila huna budi kukubali ukweli si wako tena na maisha yaendelee

Kabisa sister mi nimekuelewa na ntafanyia kazi ushauri wako.
 
Yaan hata hapa naandika neno mchepuko ili niweze kueleweka na kutofautisha ila jina la mchepuko sio jina lake kabisaa...she is a my other woman who helped and loved me a lot.
Naamini na yeye kuamua kuolewa hajawahi kukuwekea mipaka ya kuwasiliana and that is why she invited you to her send-off usikute ulipiga kile Cha mwisho Cha kuagana kabla ya kwenda kwenye harusi ...

Aiseee Huyo alikuwa mchaga wa wapi Mumarangu au ...

I can figure out how she is short and nice
 
She was funny,humble and God fearing... 🤣 🤣 🤣
 

Mkuu acha tu mwamba nilikua kwenye send off eoho inaniuma ila nacheka kinafki tu...sikupiga hata bia mzee! She is still cool ila ss hv kuna mipaka ya muda ktk mawasiliano...umejuaje ilikua ni mchanganyiko wa kihaya na mmarangu aisee!
 
Ni ovyo kwa kweli. Na wala sijapanick , sipendi mwanaume anaetafta faraja upande wa pili badala ya kusolve tatizo alilo nalo upande wa kwanza. Hapa badala ukae utatue na mkeo kua uanataka hivi na vile na vile mahusiano yenu yawe safi huku mkishirikisha mwenyezi Mungu alie bariki mahusiano yenu unaenda kuharibu kwengine ambako kutaleta matatizo mengi.

U ar useless sababu hutumii akili. Sasa anza kuwaza kidunia huu uzinzi wako unaofanya ukaleta mtoto kwa huyo mchepuko , ataharibu ndoa yakr na yako, je hatma ya wanao itakuaje hii ndo ikiharibika? Heshima yako kwa wazazi wako wa mke wako na wa mchepuko wako maana uliwahi kupanga kwako?

We unaona unatumia akili ktk kutatua haya? Kama mke mchafu au hapangi nyumba vzur saidianeni tu napenda nyumba iwe safi, napenda kochi zikae hapa, napenda uwe msafi, napenda mazingira ya jiko yawe hivi, napenda mavazi haya tena unaweza mnunulia mwenyewe unachopenda na kwa uwezo wa mungu ndoa itakaa sawa.

Mpe muda wako, epuka kampani ya huyu dem wako, weka maslah ya famili mbele na achana na tamaa zako
 
Wanawake bwana! Tusimtafutie kasoro za lazima tabia njema anayo.
Hiyo siyo kasoro ya lazima ni ipo tu
hata wewe ungegundua mkeo enzi za uchumba anachepuka usingemuoa

by the way kumuacha ni rahisi tu
funga mawasiliano nae maumivu huponyeshwa na muda
 
Naweza kumtetea kidogo mchaga huyu
kuna wanawake hawaambuliki hasa hawa walioenda shule kidogo
 
naweza kumtetea kidogo mchaga huyu
kuna wanawake hawaambuliki hasa hawa walioenda shule kidogo
Shida yngu ni yeye kwenda kutafta faraja au hyo faraja ilijileta. Mimi naoana na naunga mkono kwa 100% mkishindwana muachane lkn sio kutfta faraja upande wa pili. Maliza hili la ndoa ulilo nalo kisha anza kutafta mtu mwingin. Na kama ni muislam basi huenda angeoa mke wa pili huyu wa kwanza akagunguka akili ikiwa na mambo ya ajabh
 
Umesema ni ka God fearing hahahaaa

Mi ndo mana hata kanisani sipendi kwenda maana watu ambao wanajulikana km God fearing ni balaa.

Sema shida mkeo sio mnyenyekevu,kibri na much know hivyo umepata opposite ya mkeo..

Wanawake ambao ni much know,viburi sio wanyenyekevu kudumu nao ni lazima uwe na mahusiano ya nje otherwise ndoa haitoboi hata miaka 5
 

Kwanza ningependa nikwambie kitu sista mimi ni mwanaume mwenye asili ya upendo na upole sikutaka kuandika mengi juu ya shida za wife ila ungejua ht usingeteseka kuandika hii essay kunihukumu!

Mpk kwny ukoo na familia naonekana zoba kwa huyu mke wangu...wazazi wangu na wanandugu kila siku wananilaumu namuendekeza kwa jinsi tabia zake zilivyo! Hakuna siku aliyowahi kukubali km kakosa huyu mwanamke mwenzio!

Ubabe alionao hata john cena hamfikii mamiloo! Mshahara wake ukishaingia akayengeneza makucha yake na mawigi km joti hana habari! Ukimwambia anawaka km moto wa kifuu anajua mimi ni mnyonge ntanyamaza kumpiga siwezi sababu sijaumbwa hivyo!

Kwanza maisha ya hapa nyumbani sitamani housegirl aondoke maana itakua sio nyumba bali ni stoo watoto watakua wachafu balaa...housegirl niseme km ndio kashikilia huu mji we dada acha kuongea usichokijua mimi si fala au nisiejua thamani ya mke tena ninakua mpole mnoo ili kuepusha kutesa watoto wangu.
 
Hiyo siyo kasoro ya lazima ni ipo tu
hata wewe ungegundua mkeo enzi za uchumba anachepuka usingemuoa

by the way kumuacha ni rahisi tu
funga mawasiliano nae maumivu huponyeshwa na muda

Yawezekana alikua nae ila sikujua kwani hata huyu aliemuoa hakujua ndio maana amemuoa hayo mengine ukitaka kuyajua sna utateseka...kikubwa heshima.
 
naweza kumtetea kidogo mchaga huyu
kuna wanawake hawaambuliki hasa hawa walioenda shule kidogo

Sista mimi sio mpumbavu nisimuheshimu wife na kumpenda hapa sijataka hata kuandika kasoro za wofe sababu ya heshima tu ila wazazi wangu wenyewe dizaini km wamenitenga sababu ya huyu mwanamke ndugu wa kiume na rfk zangu close kila siku walikua wakiniambia kw nn nisitimue wife nioe huyu kwa matendo aliyonayo wife!

Kwanza ubabe pale ndipo ulikozaliwa..dharau yake haijali mkubwa mdogo,mama mkwe wala cha baba mkwe nyie acheni! Atakaloamua ndio kaamua hata km halina faida...kuna muda wakati niko na huyu nilikua najisikia vibaya kwa nn nampenda sana huyu na si wife wangu ngj nijaribu kushauri lbd na yy atabadilika na mm ntakua na ndoa ya furaha...

Nimebembeleza na kushauri mpk nimechoka zaidi ananiambia nisinpande kichwani ana kazi yake atafanya analoona ni sahihi! Ikabidi nicheke tu nikaushe...naenda kw binti huyu ana kazi na biashara na mshahara kumzidi wife nakuta mtu ni mtii na muelewa nyie acheni! Huyu mangi mwenzangu mpk kufikia kuoa aliona madini aliyonayo huyu binti.
 
Se

Serious, mwanamke akiwa jeuri,mkorofi na hakuheshimu huwa hanogi! Zaidi akiwa gogo.

Nakuelewa mpuuzie usiongee nae endelea na mambo yako
 
Se

Serious, mwanamke akiwa jeuri,mkorofi na hakuheshimu huwa hanogi! Zaidi akiwa gogo.

Bora hata angekua gogo ila ana heshima na muelewa mbona anavumilika tu! Shida ni haya masokomoko aliyonayo mzee acha tu.
 
Mkuu acha tu mwamba nilikua kwenye send off eoho inaniuma ila nacheka kinafki tu...sikupiga hata bia mzee! She is still cool ila ss hv kuna mipaka ya muda ktk mawasiliano...umejuaje ilikua ni mchanganyiko wa kihaya na mmarangu aisee!
Hiyo cocktail haiwezi kuwa ya sehemu tofauti tu halafu awe bright na very reasoning kiasi hicho Tena humble...
 

Km hujaolewa nakuombea uolewa sistaa na km tayari ukae ukijua mwanaume kucheat inatokea sana tena si mara moja km nilivyoeleza mwanzo sikutoka kutafuta faraja ni tamaa tu za kimwili na km nilivyosema kwny comment moja hapo juu ht baada ya kuchepuka nae nilishawah kuchepuka ila tabia za huyu binti ndio zilifanya niliweka makazi kwake nikatulia na sikuchepuka tenaaaa nikawa na yy na wife tu! Dada ukiwa na tabia njema kwa mwanaume mielewa hawezi mpa credit mwanamke wa nje zaidi yako!
 

Sio God fearing kwa ishu za kwenda kanisani hamna! Namaanisha jinsi anavyoishi na jamii ya nje tofauti na mm...jinsi anavyobehave kwa majirani zake..marafiki na watu wengine trust me ana hofu ya Mungu ndani yake!

Daah wife wangu ni balaa acheni tu kwanza watu wa nje wananionaga lofa kwake sema nakausha tu nilee wanangu.
 
Ndoa ilihasharibika ndiyo Maana Ndugu huyu ameshajua mtego wa mkewe Ni kumfilisi kabisa Ila ameamua kutofikia adhima ya kutarakiana kwa kuwa madhara Ni makubwa kwa mtego wa mkewe ndiyo Maana Hata mke hataki kuinject Hata Senti Moja kwenye malezi Wala makuzi wlya watoto wake.. Kama umesoma vizuri ulifika kipindi mtoto anaumwa na Mambo ya biashara yamekwama akimuomba mke hatowi Hata Senti Sasa Hapo kwa mama nyingine hakuna Ndoa kabisa... In short anaishi naye Kimkakati hahaha samahani mtoa mada Kama nitakuwa nimelewa vibaya..

Baby Zu Kama hauko kwenye Ndoa nakuomba acha kuwa na jaziba hujui maswahibu ya Ndoa Wewe bado mdogo Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…